Wanawake watia aibu bunge la katiba

Wanawake watia aibu bunge la katiba

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,268
Wana jamvi leo hii wanawake wametia aibu katika bunge la katiba kwa kutaka eti wapewe upendeleo katika ungozi wa mwenyekiti na makamo wa mwenyekiti, hiyo hoja imepelekwa na Asha Rose Migiro.badala ya kujadili katiba ilio wapeleka bungeni wanazusha malumbano ya ubinafsi!!!.inakera sana
 
Kuna mmoja kasema Ezekiel Oluoch asiitwe mwalimu ndani ya mjengo lkn Chenge aitwe Mtemi Andy Chenge aka vijicenti
 
Hii inaonyesha wazi jinsi mawazo yao yanavyo fikiria posho badala ya kujadili mswada
 
Wana jamvi leo hii wanawake wametia aibu katika bunge la katiba kwa kutaka eti wapewe upendeleo katika ungozi wa mwenyekiti na makamo wa mwenyekiti, hiyo hoja imepelekwa na Asha Rose Migiro.badala ya kujadili katiba ilio wapeleka bungeni wanazusha malumbano ya ubinafsi!!!.inakera sana
mkuu mimi mwenyewe imenikera sana,sijui kwanini wanawake wako hivi!
Haki sawa haipatkani kwa upendeleo,ni kwa hojaa,baasi.
 
Siku hizi sina hamu na komed yoyote ile ya bunge la katiba inanitosha sana.!
 
tatizo wanawake wengi wamefika hapo kwa kubebwa tunao kinamama wengi wenye uwezo mkubwa lakini hawakuchaguliwa kutokana na kubebwa mawazo yao yamekaa kubebwabebwa wanawake wasitegemee kupata usawa kama hawataonyesha kwa vitendo nao wanaweza tumeona mfano wa spika la bunge la muungano alivyoshindwa kuliendesha hao wanawake wasifikiri wanatetea mawazo ya wanawake wenzao bali wanawadhalilisha nashukuru Wenje kwa kuwaambia ukweli
 
Wana jamvi leo hii wanawake wametia aibu katika bunge la katiba kwa kutaka eti wapewe upendeleo katika ungozi wa mwenyekiti na makamo wa mwenyekiti, hiyo hoja imepelekwa na Asha Rose Migiro.badala ya kujadili katiba ilio wapeleka bungeni wanazusha malumbano ya ubinafsi!!!.inakera sana

huyu si ndiyo chaguo la pili aka plan ''b'' ya kikwete kumrithi 2015?
 
huyu si ndiyo chaguo la pili aka plan ''b'' ya kikwete kumrithi 2015?

Ametuangusha sana sisi wananchi ambao tunawategemea watuletee katiba mpya, badala yake wanalilia maslahi yao binafsi....
 
Wana jamvi leo hii wanawake wametia aibu katika bunge la katiba kwa kutaka eti wapewe upendeleo katika ungozi wa mwenyekiti na makamo wa mwenyekiti, hiyo hoja imepelekwa na Asha Rose Migiro.badala ya kujadili katiba ilio wapeleka bungeni wanazusha malumbano ya ubinafsi!!!.inakera sana
Wamechanganyikiwa..badala ya kudai upendeleo kwenye fulsa ili kurekebisha mfumo dume wamekua wanadai upendeleo kupata vyeo kitu imezalisha wamama wasio na uwezo kwenye nafasi za juu za uongozi nchini.
 
Ndio hivyo ndugu yangu kama tulivyo shuhudia bunge letu la muungano anavyoliendesha bi mkubwa kwa matakwa ya wenye nchi na kuyaacha mawazo mazuri sana ya wabunge.
 
Bunge lote naliona sifuri tu. Kila siku hoja za kipumbavu, hadi wananipa uvivu kulipa kodi
 
Kama wanawake wangekuwa wanatumia nafasi zao kupigania haki za wanawake wenzao na watoto,ningeheshimu sana pendekezo lolote la wao kupata upendeleo.Lakini kinyume chake ni kwamba wamekuwa wakitumika sana kutetea maslahi ya wababe wachache ambao ni vidume hata kama ni kwa kukandamiza haki za watoto wao!Ukiangalia kwa makini pia utagundua wanawake wenye uwezo mkubwa,hupigwa vita na wanawake wenzao matokeo yake wale wasio na uwezo ndio wanabebwa bebwa tu ili wakatumike vizuri
 
Rozi Migiro kama Asja Abdallah tu. Baada ya UN alitakiwa ajipumzikie pale UDSM tu. Kwa siasa za bongo atamalizia uzee wakr kwa shida sana
 
Wakale walisema wanawake wana majukumu matatu.
Watoto. yaani kuzalishwa na kulea watoto
Jikoni. yaani kuandaa misosi na usafi wa ndani
Kanisani. yaani wawe watiifu kwa waume zao na kumtumikia Mungu. Sasa leo hii wa TZ hizi kanuni tumezipindisha eti sasa spika ni mwanamke sijui jikoni kwake kukoje. eti mwanake ni mbunge au waziri. haiingii akiini. kama mnaona nakosea nitajie waziri wa kike tangu uhuru aliyefanya kazi yake kwa umahiri.
 
Wamenikera sana jana...najizuia ku comment kwanza nisije pewa ban pili nina hasira na mambo ya chalinze kwenyw kura ya maoni tatu wife hajapata mshahara mpaka leo na gesi imeisha home beki hazikabi kabisa...
 
Back
Top Bottom