Wanawake watengeni mashoga waache tabia yao chafu

Wanaopenda mashoga na kuwatumia wamo humu tele, mnajikausha tu na kuwaponda the same way mnavyoponda facebook! Sasa wanatukimbilia sie kwa story na emotional support, ila kwa ngono wanawakimbilia nyie! Mnashindwa kuwakataa?
Wakiona jamii imewakataa hawatawafuata wanaume tena lakini wao wanaona nyie ndio kimbilio lao
 
Kila mtu anaishi apendavyo.........kama mtu shoga au si shoga ........ww unaumia nini.....acha watu waishi wapendavyoo
 
Kila mtu anaishi apendavyo.........kama mtu shoga au si shoga ........ww unaumia nini.....acha watu waishi wapendavyoo

We ngoja umkute mwanao wakiume anagawa mgongo ndo utajua kama vyema kuwaacha wakaishi watakayo
 
Tena Hawa mashoga nibasi tuu tabia zao lakini wanakua na roho nzuri sana.

ni kweli kabisa usemavyo tatizo ni tabia zao za kishenzi ila roho zao ni nyeupe,kuna shoga amefariki wiki mbili zilizopita kwenye msiba wake waombelezaji walikuwa wakimsifia kwa roho yake nzuri kama usemavyo
 
Wakiishafiri padri au shehe huwa wanaenda kuendesha ibada au wanazikwa kama mbwa?
 
Wakiishafariki padri au shehe huwa wanaenda kuendesha ibada au wanazikwa kama mbwa?
 
Du!Hao mgambo wa jiji nao watakuwa wana tabia kama zao huwezi kwenda kumzika na kumpa heshima kiumbe aliekuwa na tabia za kishenzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…