Yusuph Wernery
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 316
- 147
Duuuu ulimwengu umeoza yaaan kama tunafikia hatua ya kukosoa na kudharau uumbaji wa Mungu namna hiiii kweli tu ktk hali mbaya
Kwa hali ilivyo hata huo uhawara utaupata wapi?
Ungeondoa hizo sehemu zinazogusa imani zao kabla hawajaja kuleta fujo hapa. Mada nzima itageuzwa ya kiimani.