Wanawake wasionivutia kabisa 2016

Hawa ndio wezi wakubwa maana anabadilisha muonekano wake wote akitoa wigi unaweza kumkataa
Hahaaa..dah, leo akikutumia picha wasap akiwa na wigi lake, then baada ya mwezi akatuma picha bila wigi unaweza kukataa kuwa sio yeye!!
Kazi ipo!!!
 
Duuuh...Mkuu hapo umesema. Siwapendagi wanawake wahivyo...hivi sababu ni nini hasa mwanamke anakosa kifua chenye boobs zaa ukweli?
Mnataka yale ya kichina?? Hayo ni maumbile ya mtu kama ilivyo kwa sehemu nyingine za mwili huwezi kubadilisha, ukibadilisha yanakuwa fake... Fake zone!!
 
Mi nao wachukia ni wabambikiaji mimba...yaani anajua kabisa sio yako afu anakuuzia kesi. Wengi tutaelewana tu ilimradi habambiki mimba aah ataliwa tu.
 
Mkuu hiyo namba 9 unaijuaje?
 
No 5 utaniwuwaa.....nichukie mpaka ukufweeee......lazima nilipe kodi........
 




Mkuu naona hauna mapenzi na mademu wa bongo muvi na masistaa du wa hapa Darisalama kiujumla.
 
Kwa kweli inakera, unakuta mwanamke ana bonge la kitambi shinda hata mkuregenzi wa halmashauri. Unamtoa out anakula chakula cha watu kumi kisha anakuambia yuko kwenye diet. Wanawake wa Bongo wanakula jamani, sijapata kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…