Teh teh..We ndo mtu wa kwanza kusikia unakipenda kitambi...Hakikusumbui faragha?KITAMBI NINACHO SAAANA NYAMA CHOMA NA CASTLE KWA SAAAANA HAPA JOB WAMEANZISHA PROGRAM YA MAZOEZI NIMEITOLEA NJE NAKIPENDA KITAMBI CHANGU NA NINAKIGHARAMIA NYAMA NA BIA ASIYEKIPENDA ATAJIJUA
Haya twende na hizo nyingineHa ha ha hapo nimechomoa (in jk's voice)
HIHIHIHIHIH SIFANYAGI TENA MAMBO FARAGHANITeh teh..We ndo mtu wa kwanza kusikia unakipenda kitambi...Hakikusumbui faragha?
ha ha ha. Daah! Wanaume wa JF mna madongo jamani.kuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
ha a hahahakuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
lavu yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuheeeee kuna wanaotupenda atii
HAHAHAHA ASANTEEEElavu yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Ha ha ha...dah!....Kuna watu wanakusonya sana kiongozi...kuna wale wanasukia weaving limevunda anawashwa kichwani anajipigapiga kichwa kama anajaribu nazi nzima au koroma.
Wanawake wafuatao hawanivutii kabisa mwaka huu wa 2016:
1. Wenye vitambi
2. Wenye matumbo yaliyojitokeza pembeni kama chura amebanwa na mlango
3. Wenye matako flat cha ajabu ni lepelepe
4. Waliojichubua mpaka mishipa na ngozi vinageuka kuwa blue (aaagggrrrr)
5. Wanywa pombe
6. Wanaopenda kubugiabugia vyakula kama nguruwe
7. Waliojazia misuli halafu wanavaa nguo ya mikono iliyokatwa huku wakionekana kama mabaunsa
8. Wanaojamba ovyo (aaaghhhgggrrrr)
9. Wanaovaa chupi nzito kama gunia, pamoja na joto lote hili
10. Wakorofi na wanaopenda ligi
11. Waropokaji
Nikirudi nitaongeza list na kuwaambia kwa nini hawavutii.
KITAMBI NINACHO SAAANA NYAMA CHOMA NA CASTLE KWA SAAAANA HAPA JOB WAMEANZISHA PROGRAM YA MAZOEZI NIMEITOLEA NJE NAKIPENDA KITAMBI CHANGU NA NINAKIGHARAMIA NYAMA NA BIA ASIYEKIPENDA ATAJIJUA
SINA KILO ZAID YA 70 NO MORE NO LESSSijui kama hufanani na hawa viumbe tembo, au faru
usikae na weaving muda mrefu bidada.ha a hahaha
haya nimesikiausikae na weaving muda mrefu bidada.
Umeniwahi! Kuna wale wanaovaa 'vikuku' au kwa lugha nyingine chain miguuni.Nakusaidia.....
Wanaovaa mawigi
Hawa ndio wezi wakubwa maana anabadilisha muonekano wake wote akitoa wigi unaweza kumkataaNakusaidia.....
Wanaovaa mawigi