wana MMU naomba mnisaidie
katika kuna katabia fulani ka wanawake/wasichana kusingizia mimba, its
either kwa x-bf wake, au rafiki, au bf wake, au mchumba wake, unakuta
kanasa ujauzito toka kwingne, akijigundua kuwa keshanasa anakuja
anakuomba mchezo wa kirafiki, ukikubali mechi tu, after one week
anakuambia ye ni mjamzito! Hata kama upo mbali atakufuata kwa ajili ya
mechi thereafter anakuambia mjamzito...
Hv anapofanya ivi ni kwamba ananipenda? Or kaamua anikomeshe au sababu
ni nini?
Nasikitika sana kusikia habari hizo, hivi wanaume mnatatizo gani?mechi bila protection unategemea nini?nani akupangie uzazi? pia unapokataa uwe na hakika kama alikonasa ni kwingine la utajitafutia laana. usikurupuke bora umwambie sitakuoa lakini usikimbilie amenasa kwingine hali huna uthibitisho. mwache aendelee kukaa kwao ukiendelea na uchunguzi kama sio wako kweli ukigoma kumuoa yawezekana akahamia kwa baba wa ukweli. mbaya sana ukamkataa mtoto kesho unarudi kumuhitaji. wajibikeni kujipangia uzazi msiwaachie wanawake.wana MMU naomba mnisaidie katika kuna katabia fulani ka wanawake/wasichana kusingizia mimba, its either kwa x-bf wake, au rafiki, au bf wake, au mchumba wake, unakuta kanasa ujauzito toka kwingne, akijigundua kuwa keshanasa anakuja anakuomba mchezo wa kirafiki, ukikubali mechi tu, after one week anakuambia ye ni mjamzito! Hata kama upo mbali atakufuata kwa ajili ya mechi thereafter anakuambia mjamzito...
Hv anapofanya ivi ni kwamba ananipenda? Or kaamua anikomeshe au sababu ni nini?
Mliachana lini?na lini akakakwambia anamimba yako? au mliachana alafu mkikutana mnatumiana? ukitembea na mtu bila protection tegemea kusikia lolote mimba, ukimwi, na magonjwa mengine. kwanini upangiwe maisha na mtu mwingine, ushindwe kujilinda nani akulinde?ni mkeo huyo?mnasikitisha sana. aibu sana kukubali kuzalishwa ovyo bila kuplan.kaka mm mwenyewe imenitokea kwa X-gf wangu tulishaachana na saizi ananiletea hzo habari kunilazmisha eti mimba ni yakwangu imetokea bahati mbaya.. dah yan leo cku yangu ilikuwa ngumu sana
Mliachana lini?na lini akakakwambia anamimba yako? au mliachana alafu mkikutana mnatumiana? ukitembea na mtu bila protection tegemea kusikia lolote mimba, ukimwi, na magonjwa mengine. kwanini upangiwe maisha na mtu mwingine, ushindwe kujilinda nani akulinde?ni mkeo huyo?mnasikitisha sana. aibu sana kukubali kuzalishwa ovyo bila kuplan.
Akikufanyia hivyo anakugeuza ---- mpige kibuti. Simpo! Zama zetu haya madudu hayakuwepo. Hatukua chovya chovya kama sasa.
upumbavu ni kufanya mapenzi bila condom halafu unalia lia kusingiziwa mimba
upumbavu ni kufanya mapenzi bila condom huku huna mwelekeo wa kesho
ni ki2 cha hovyo manake kuwa na mtoto ni swala nyeti, pengne unaweza ukamtambulisha hadi kwa ndugu, hv ikija kugundulika ukweli uso wako utauweka wapi mbele za ndugu zako uloenda kujinadi kwao kuwa una m-kid wakakuona dume la mbegu?Akupende wapi wakati kaibebea njeee!!!!!.
usiwaze negatively tu kwani swala la kutotumia kinga wote wanahusika ata mwanamke ana haki ya kuhoji mbona mwanaume hana kinga! Pia kuna kinga za wanawake...Nasikitika sana kusikia habari hizo, hivi wanaume mnatatizo gani?mechi bila protection unategemea nini?nani akupangie uzazi?.....
pole, watoto wa dotcom, digitali. ndiyo style zao izo. mi naona ukikutana na hari ya namna hiyo kausha tu.
kaka mm mwenyewe imenitokea kwa X-gf wangu tulishaachana na saizi ananiletea hzo habari kunilazmisha eti mimba ni yakwangu imetokea bahati mbaya.. dah yan leo cku yangu ilikuwa ngumu sana
Waambie hao. Kutwa kulalamika mimba za kusingiziwa wakati kondomu zipo tele, bei nafuu kuliko kulea mtoto.