MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,611
- 39,399
Kula chuma hicho
Mhh mbona kavutwa kwa chini
Mhh mbona huu muandiko wenyewe upo kifupi fupi.Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh. Wanawake warefu weupe kwa huku ni nilipo ni adimu sana.
Unaweza kumkuta mrefu ila mweusi, mweupe ila mfupi ama lah ni mweupe na anaonekana mrefu kumbe sio mrefu ni mwembaba tu ila ni mfupi.
Ni mkoa gani (ukiondoa uchagani) wanapatikana viumbe wa hivi bila kutafuta kwa tochi yani wapo kama wamemwagwa vile?
Sipendelei mwanangu awe mfupi aisee, ufupi sio ishu kabisa. Mbaya zaidi uwe mfupi na huna mwili unakua kama katoto kenye ndevu, mfupi na kibonge unakua kama kipipa. Afadhali basi uwe na mwili wa wastani.
Enyi wanawake warefu weupe njooni tuanzishe maisha. Kama upo Dar itapendaza maana nakuja huko soon..
Yaani mtoto wa Hasheem Thabit azae na Tulia Akson halafu mtoto awe mfupi kwa kukosa lishe??Wewe unaonekana ni mfupi na una inferiority complexity kwenye mfumo wako wa fahamu, kuanzia utosini hadi unyayoni.
Aliyekwambia Mwanamke kuwa mrefu ndio kigezo cha mtoto kuwa mrefu ni nani?!
Urefu ni outcome ya lishe nzuri labda kama baba na mama ni dwarfs yaani wale mbilikimo.
Ila kama ni binadamu wa kawaida asiye na aina yoyote ya Dosari then tegemea kuwa ni swala la lishe tu watoto watakua vizuri sana. Urefu unakuwa stimulated na hormones za ukuaji yaani HGH. Sasa wewe labda kama unataka kuunganisha koo na akina Masawe ila unaweza hata kuoa mlugulu na mtoto akaja kuwa tolu hautaamini.
Mkuu hata mimi nawatamani sana mashoti wenzangu ila sasa kuanzisha familia na shoti daa, sipendi dogo awe shoti kama mimi.Kweli binadamu tunatofautiana, mimi hawa wadada wafupi wenye miili midogo midogo ndio they turn me on. Hawa warefu sinaga mzuka nao.