Wanawake Wanene: Less Successful

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
785
muffin_top_729-420x0.jpg

June 23, 2011 - 10:06AM
Overweight women, are less successful than their slimmer peers, according to recent university research that blames a lack of education, rather than workplace discrimination, as the major reason.
"Bigger girls are less likely to go to college regardless of how well they did in school, their career aspirations or whether their parents went to college," said Christy Glass, one of two Utah State University associate professors of sociology involved in the study. "That education deficit accumulates over the course of their careers."
Weight was not nearly as big a factor in the career trajectories of men, the researchers found.
Advertisement: Story continues below
"We need some serious intervention there," Glass said.
The study was published in the 2010 June issue of journal Social Forces, but has since garnered wider attention following an opinion piece in The New York Times by the scholars, titled Heavy in School, Burdened for Life.
"There is so much insensitivity surrounding anybody afflicted with obesity. So much of the prevailing feeling is that we deserve everything bad that happens to us because it's all our fault," said Barbara Thompson, chairwoman of the Obesity Action Coalition, a 25,000-member group based in Tampa, Florida.
The researchers concluded that obesity, at least for young women, somehow derails aspirations.
Obesity may be less of a factor in mens' economic prospects because it does not carry as much stigma and is not much of a barrier to playing sports or pursuing other extracurricular activities at school.
"Being heavy can be an advantage (for men), if you are playing nose tackle on the football team," Reither said.

The Sydney Morning Herald

https://www.jamiiforums.com/imgres?...weight+black+women&hl=en&sa=X&tbm=isch&itbs=1

Kingereza then thread ndefu sana! Mimi kifupi i don't agree with the stated title of this thread, and i have some evidences to support my stand. Lets take some few sample ya hao wanawake wanene like Oprah winfrey, mch.rwakatare, mongera, etc u wil find that they are wealthly enough and are successful and there are many of them who are doing good. Nathan ur analysis has lacked a theoritical as wel as practical justifications, they are just assumptions!
 
totally agree with u gagurito. for a woman/man to succeed it is a factor of having the confidence to conquer the world!all these will be nurtured and groomed in the surroundings and family play a bigger part of it. if anyone grows up being poked and told 'u ar a useless fat pig', they may decide to prove a point by working hard and succeed,or else loose confidence and be unable to make a life! haina tofauti na mtoto anayekua akiambiwa 'u ar just too beautiful', hao ndo wanakuwa wanadhani the beauty can take them anywhere,wanaishia hata kukosa wenzi coz wanadhani they just too good for any one!kuna wakaka pia wanajiskia they ar too handsome for any gal. ni attitude tu mzee,big galz make it in life,way better i guess kwenye nyanja zote.
 
Haya mambo ya succes kwa wanawake yalianzia kwenye iman gani,atakaenijibu nitampa zawadi nzuri sana!
 
usilete mambo ya imani/udini hapa tafadhali! mambo yote wanadamu wanafanya yanakuwa enfluenced na mazingira, ambayo hupelekea self-esteem ya mtu!

Moja;hujajibu swali,pili;kama kuna yoyote anafanya jambo bila kufikiria uhalali wa jambo hilo kiimani ana matatizo,tatu;hakuna jambo unaliona linatokea duniani ambalo halina uhusiano au mambo ya dini,wanafanya halafu wanawadanganya kuwa yanatokana na mazingira kumbe wewe unaacha kufikiri kuhusu mambo yanayotokea na mahusiano yake na imani unadhani yametokana na mazingira,unalala wenzako wanamsimika wanaemwabudu kutokana na mambo wanayoyaanzisha kusaidia kukufanya wewe kuwa muumini wa imani hiyo kwa kuwa mfuasi wa mambo wanayoanzisha ukidhani ni matokeo ya maendeleo na mazingira,hata mambo ya weman right na woman succes yameanzishwa kihvyo,kifupi ni ibada hiyo unaishabikia mama!
 
Research ilifanyika usa ninakubariana na mtoa mada, mimi ninaishi mbeya ambako kuna wanawake wanene lakini sijawahi kuona mwanamke mnene kama hao wamarekani ambao wameonekana kwenye page za hiyo journal magazine,
 
ninaamini dini ni sehemu ndogo tu ya mazingira yetu,ikiwemo tamaduni pia. anyways, sipendelei kutupiana mawe ya imani ipi ni bora kuliko nyingine. kwangu mm imani kama inamsaidia mtu kutenda mema,kufurahia maisha na kutokata tamaa, i wldnt burst anybody's bubble.
Moja;hujajibu swali,pili;kama kuna yoyote anafanya jambo bila kufikiria uhalali wa jambo hilo kiimani ana matatizo,tatu;hakuna jambo unaliona linatokea duniani ambalo halina uhusiano au mambo ya dini,wanafanya halafu wanawadanganya kuwa yanatokana na mazingira kumbe wewe unaacha kufikiri kuhusu mambo yanayotokea na mahusiano yake na imani unadhani yametokana na mazingira,unalala wenzako wanamsimika wanaemwabudu kutokana na mambo wanayoyaanzisha kusaidia kukufanya wewe kuwa muumini wa imani hiyo kwa kuwa mfuasi wa mambo wanayoanzisha ukidhani ni matokeo ya maendeleo na mazingira,hata mambo ya weman right na woman succes yameanzishwa kihvyo,kifupi ni ibada hiyo unaishabikia mama!
 
ninaamini dini ni sehemu ndogo tu ya mazingira yetu,ikiwemo tamaduni pia. anyways, sipendelei kutupiana mawe ya imani ipi ni bora kuliko nyingine. kwangu mm imani kama inamsaidia mtu kutenda mema,kufurahia maisha na kutokata tamaa, i wldnt burst anybody's bubble.
Sijazungumzia ubora wa iman yoyote,nilichosema kuwa mambo yote unayoyaona yanatokana na imani fulani,unachosema kuwa dini ni sehemu ndogo ya maisha unakosea sana,ni mambo yote,mama tatizo tu ni kuwa hujui haya mambo nani aliyaanzisha na ni kwa dhumuni gani,siku ukijua hautayataka tena believe me!
 
Mi nadhani mafanikio ya mtu hayapo kwenye ukubwa wa umbo la mwili. Ni akili ya mtu na vile anavyoitumia akili yake, pamoja na mazingira yanayomzunguka.
 
Kwa kweli sidhani kama ina ukweli hii nikiangalia nchini kwetu karibu wote wanene, we anza kuangalia mabosi wako ofisini kwanza ambao ni wanawake, hapo utagundua wote karibia ni wa nene, naongezea tu yule dada pilot hilda, ritha mlaki nk nafikiri labda ni huko kwao sababu mtu akiwamnene kule wanakuwa hawajiamini hata mashuleni wanatengwa
 
Kwa Afrika labda haihusiani sana, lakini kwa nchi zilizoendelea inaonekana unene una influence kubwa sana kwenye maisha ya kila siku ya mtu.
 
Jamani oprah naye ni mnene!!! kweli kwa bongo tunasema naye mnene! mwanamke kuwa successful inatokana na confidence yake jamani hiyo research imetumia method gani kuderive hy conclusion mana methods zingine ni subjective haziapply kwa kila geographical areas!!!
 
Punguzeni munkari wadau. findings za hii research zaweza zisi apply africa ila kwa nchi zilizoendelea mi nakubaliana na utafiti huo; kwani wanawake wenye obesity huwa wanakuwa wanachekwa na kutokubalika na jamii (hawana market) hivyo yaweza kuwaondolea confidence na ku end up being unsucessful in life.

Na wanaosema maboss bongo ni wanene napenda wakumbuke kuwa hao mabosi walinenepa baada ya kuwa successful; patly sababu ya kula sana vyakula vya hovyo na vileo. Lakini wakati wana struggle wengi walikuwa vimbau mbau.

Hata hapa hapa bongo jaribu kuangalia watoto ambao ni wanene kupitiliza na perfomance zao mashuleni!
 
nonsense, all these are stereotypes used against women. What about big men? Give women a break and let them be.
 
Back
Top Bottom