Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 236 Jan 18, 2013 #21 nimeumia sana rohoni,wanawake kweli mengi wanabeba!! ndo sababu ya ku-hustle na ili life now!! to all women I salute you
nimeumia sana rohoni,wanawake kweli mengi wanabeba!! ndo sababu ya ku-hustle na ili life now!! to all women I salute you
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,584 Reaction score 553 Jan 18, 2013 #22 wa vijijini ndio wanaopiga kazi wa mjini wanauza uzuri tu( nasubiri maneno yangu) Fidel80 said: wa mama wa mijini na wa vijijini ni wa mama wa wapi wanao chapa mzigo? Click to expand...
wa vijijini ndio wanaopiga kazi wa mjini wanauza uzuri tu( nasubiri maneno yangu) Fidel80 said: wa mama wa mijini na wa vijijini ni wa mama wa wapi wanao chapa mzigo? Click to expand...
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Jan 19, 2013 #23 Wandugu Masanja said: wa vijijini ndio wanaopiga kazi wa mjini wanauza uzuri tu( nasubiri maneno yangu) Click to expand... wa mjini kazi kujipodoa podoa na kuuza sura eti ndo watetezi wa haki za wanawake
Wandugu Masanja said: wa vijijini ndio wanaopiga kazi wa mjini wanauza uzuri tu( nasubiri maneno yangu) Click to expand... wa mjini kazi kujipodoa podoa na kuuza sura eti ndo watetezi wa haki za wanawake
gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 Jan 19, 2013 #24 Huwa ninapata uchungu sana pale mtu akimtukana mama yangu.