Wanawake! Wanawake! Mna shida gani jamani?

Huyu demu ulivyompotezea aliamia so ameamua kukuoshea/kukufanyia malpiza

Wew pia kimyaaaaaaa tuu kwakuw amejipang muda huuu


Ila baadae anawez kujilengesha so usijiachie tumia akili
 
Mtoa mada kapoteza pambano ambalo ushindi ulikua nje nje,sasa haamini kama mpira umeisha

Kikubwa hapo rudi tena chimbo mpaka atakapojilengesha mwenyewe tena,na ukimuotea upige hadi beki kwa hasira
afu uanze tena nyodo
 
Kosa lako ni ulivyomwambia mkapime, akasema umpe muda yawezekana ulimwonesha kama vile unaamini kaathirika na anataka akuambukize.
Tena yawezekana hata uliwasimulia watu na yeye akayapata.

Ndio maana alikubali mpime ujue afya yake kisha akuache maana angekuacha ungesema kakuacha kwa sababu ameathirika na msimamo wako ulikuwa ni kupima kwanza.

Unavyomshirikisha mtu suala la kupima, ukiona anasita sita, haimaanishi kaathirika. Halafu hautakiwi kumwonesha kwamba unaogopa sana UKIMWI. Wewe mwambie unampenda na unataka mjue afya zenu ili kama ikitokea mmoja hayupo salama, mtumie njia za kujikinga.

Siku nyingine tumia akili.
 
Duh kaz ipo ila nawashukuru TIGO asubuh wamenitumia gawio 41000 machungu yamepoa

Afu kuna much know humu ndan huyu dada kazingua km alijua haupo na mm tena alikubal kwenda kupima ili iweje
 
HABAR WADAU

Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu waniombe namba yangu nikawapa tukaanza kuwasiliana in short nilipoona kajileta ilibid nimsaidie maana nilijua wazi ingekuwa ngumu kwake kunitongoza ivo nikamtongoza yeye

Akakubali kwa kipindi hiko alionesha upendo wote ila nilikuwa na hofu nae maana kazoeana na madogo ya mtaani km yote vile nikawa nahisi anaweza kuwa malayachini kwa chini ma kipindi hiko chote sijawah hata kumkiss wala kumpiga dyu dyu nilimwambia siwez mpaka tukapime akawa ananizungusha sound kibao mara j pili nichek j pili ukimpigia hapokei mara sipo tayar kupokea majibu nikiwa tayar ntakuchek mara sijui nataka ninunue vifaa nijipime mwenyewe nikaona huyu miyeyusho nikampotezea na wala pesa alikuwa haombi wala nini ivo nikampotezea jumla jumla

sasa leo bwana sijui nikapatwa na nn nilipita njia anayofanya kaz kila siku huwa napita hapo ila huwa simwongelesh sasa leo nikamwongelesha tuseme nilimuonea huruma mda mrefu namkaushia tu tukaanza stor za hapa na pale tukaenda kwenye kibaa kimoja akaagza red bull 3500 mmmh nikashanga maana siku za nyuma alikuwa anaagizaga soda sikujali nikaona sio kesi nikampa pini akapiga tatu TOTAL 10500

kISHA TUKAPANGA sasa leo tukapime tukaenda hospital moja tukapima fresh kabisa na majibu yakatoka fresh kanisa sasa ile natoka nje kimoyo moyo nasema sasa huu ndio wakati wa kumla nashangaa mwenzangu mwenzangu ana ni ignore tupo njian katika njia ambazo watu hawapiti namshika kuno hataki namwomba tupige kiss hataki nimsogelea naye anasogea in short anatak tuongee mbali mbali tuliagana kishikaji nikaondoka na duku duku moyoni maana hata io pesa ya kupima nimetoa mm sasa basi nikaona huyu nikiweka ufala ndio italeta shida zaidi nikamtumia text kumuuliza km upo na mm au la

LAMIJINU KUWA HAUPO NA MM ANA MTU MWINGINE KWENDA KUPIMA ALITAKA KUNIRIDHISHA TU

NIMESHANGAA YAAN NAJUTA HATA KWANN LEO NILIJISHAUA KUMUONGELESHA NINGEMPUUZA KM SIKU ZOTE KAPIGA BILL AMBAYO HAINA FAIDA NAHISI ALITAKA KUNIKOMOA TU

My dear boys msibadili misimamo yenu ili tu kumfurahisha mwanamke mwanamke akili zake anazijua yy mwenyewe na pia nimegundua mwanamke ukishafanya nae tu ni ngimi sana kukudisappoint yaan ni ngumu lakini km hujawah kumgusa ilo linawezekana saa yeyote mda wowote anakuchenjua tu mwisho japo kuwaingilia ni ticket ya kuwa conquar please dont take it easy kuwa wengine wana mabalaa yao mm niliwah kusex na mwanamke fulan hv lkn aligoma kupima ila kila akiniona anabadili njia
We ulipata bahati ya kula mbususu kwa ubwege wako ukairingia sasa unaitaka ya nini? Sisi wakulungwa huwa tunazichakata kwanza kupima baadae, ni bora ata ungeifumua kwa mpira then ukaibembeleza kupima.
 
We ulipata bahati ya kula mbususu kwa ubwege wako ukairingia sasa unaitaka ya nini? Sisi wakulungwa huwa tunazichakata kwanza kupima baadae, ni bora ata ungeifumua kwa mpira then ukaibembeleza kupima.
Hii kwel kqbisa ila tatizo mm npo s3nsitive sanq nikiwa room natakq nimle kila kitu bila uoga
 
Bwana mdogo, ninamsifu sana huyo binti.
Kwa mwandiko tu una boa sana.
Hivi mko njiani unamwambia akupe kiss?
Binti ameanza kukutaka umemshindwaje?

Unatongozaje kizembe vile?
1. Huna swaga
2. Huna busara
3. Huna pesa
Utapendwa na dada na mamako tu wengine warembo utawaita shemuuu
😂😂😂
 
Back
Top Bottom