Wanawake! Wanawake! Mna shida gani jamani?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,074
HABAR WADAU

Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu waniombe namba yangu nikawapa tukaanza kuwasiliana in short nilipoona kajileta ilibid nimsaidie maana nilijua wazi ingekuwa ngumu kwake kunitongoza ivo nikamtongoza yeye

Akakubali kwa kipindi hiko alionesha upendo wote ila nilikuwa na hofu nae maana kazoeana na madogo ya mtaani km yote vile nikawa nahisi anaweza kuwa malayachini kwa chini ma kipindi hiko chote sijawah hata kumkiss wala kumpiga dyu dyu nilimwambia siwez mpaka tukapime akawa ananizungusha sound kibao mara j pili nichek j pili ukimpigia hapokei mara sipo tayar kupokea majibu nikiwa tayar ntakuchek mara sijui nataka ninunue vifaa nijipime mwenyewe nikaona huyu miyeyusho nikampotezea na wala pesa alikuwa haombi wala nini ivo nikampotezea jumla jumla

sasa leo bwana sijui nikapatwa na nn nilipita njia anayofanya kaz kila siku huwa napita hapo ila huwa simwongelesh sasa leo nikamwongelesha tuseme nilimuonea huruma mda mrefu namkaushia tu tukaanza stor za hapa na pale tukaenda kwenye kibaa kimoja akaagza red bull 3500 mmmh nikashanga maana siku za nyuma alikuwa anaagizaga soda sikujali nikaona sio kesi nikampa pini akapiga tatu TOTAL 10500

kISHA TUKAPANGA sasa leo tukapime tukaenda hospital moja tukapima fresh kabisa na majibu yakatoka fresh kanisa sasa ile natoka nje kimoyo moyo nasema sasa huu ndio wakati wa kumla nashangaa mwenzangu mwenzangu ana ni ignore tupo njian katika njia ambazo watu hawapiti namshika kuno hataki namwomba tupige kiss hataki nimsogelea naye anasogea in short anatak tuongee mbali mbali tuliagana kishikaji nikaondoka na duku duku moyoni maana hata io pesa ya kupima nimetoa mm sasa basi nikaona huyu nikiweka ufala ndio italeta shida zaidi nikamtumia text kumuuliza km upo na mm au la

LAMIJINU KUWA HAUPO NA MM ANA MTU MWINGINE KWENDA KUPIMA ALITAKA KUNIRIDHISHA TU

NIMESHANGAA YAAN NAJUTA HATA KWANN LEO NILIJISHAUA KUMUONGELESHA NINGEMPUUZA KM SIKU ZOTE KAPIGA BILL AMBAYO HAINA FAIDA NAHISI ALITAKA KUNIKOMOA TU

My dear boys msibadili misimamo yenu ili tu kumfurahisha mwanamke mwanamke akili zake anazijua yy mwenyewe na pia nimegundua mwanamke ukishafanya nae tu ni ngimi sana kukudisappoint yaan ni ngumu lakini km hujawah kumgusa ilo linawezekana saa yeyote mda wowote anakuchenjua tu mwisho japo kuwaingilia ni ticket ya kuwa conquar please dont take it easy kuwa wengine wana mabalaa yao mm niliwah kusex na mwanamke fulan hv lkn aligoma kupima ila kila akiniona anabadili njia
 
Bwana mdogo, ninamsifu sana huyo binti.
Kwa mwandiko tu una boa sana.
Hivi mko njiani unamwambia akupe kiss?
Binti ameanza kukutaka umemshindwaje?

Unatongozaje kizembe vile?
1. Huna swaga
2. Huna busara
3. Huna pesa
Utapendwa na dada na mamako tu wengine warembo utawaita shemuuu
 
Bwana mdogo, ninamsifu sana huyo binti.
Kwa mwandiko tu una boa sana.
Hivi mko njiani unamwambia akupe kiss?

Unatongozaje kizembe vile?
1. Huna swaga
2. Huna busara
3. Huna pesa
Utapendwa na dada na mamako tu wengine warembo utawaita shemuuu
Busara gani unazoongelea? Amekuambia kuwa hana pesa? Mbona unataka tukufikirie vibaya wewe?

Jinsia gani wewe? Mtoa post ana kosa gani sasa? Hebu tumia lojiki ndogo tu, acha complications.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lako ni zee korofi, huoni anataja hadi 3.5k alizotoa?
 
Pole sana minimehonga 50k naskilizia kama ataingia kwenye anga zangu nimchakate
 
Mkuu baada ya kumaliza kusoma uzi wako nimecheka.... nimechekaaa.
 
HABAR WADAU

Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu waniombe namba yangu nikawapa tukaanza kuwasiliana in short nilipoona kajileta ilibid nimsaidie maana nilijua wazi ingekuwa ngumu kwake kunitongoza ivo nikamtongoza yeye

Akakubali kwa kipindi hiko alionesha upendo wote ila nilikuwa na hofu nae maana kazoeana na madogo ya mtaani km yote vile nikawa nahisi anaweza kuwa malayachini kwa chini ma kipindi hiko chote sijawah hata kumkiss wala kumpiga dyu dyu nilimwambia siwez mpaka tukapime akawa ananizungusha sound kibao mara j pili nichek j pili ukimpigia hapokei mara sipo tayar kupokea majibu nikiwa tayar ntakuchek mara sijui nataka ninunue vifaa nijipime mwenyewe nikaona huyu miyeyusho nikampotezea na wala pesa alikuwa haombi wala nini ivo nikampotezea jumla jumla

sasa leo bwana sijui nikapatwa na nn nilipita njia anayofanya kaz kila siku huwa napita hapo ila huwa simwongelesh sasa leo nikamwongelesha tuseme nilimuonea huruma mda mrefu namkaushia tu tukaanza stor za hapa na pale tukaenda kwenye kibaa kimoja akaagza red bull 3500 mmmh nikashanga maana siku za nyuma alikuwa anaagizaga soda sikujali nikaona sio kesi nikampa pini akapiga tatu TOTAL 10500

kISHA TUKAPANGA sasa leo tukapime tukaenda hospital moja tukapima fresh kabisa na majibu yakatoka fresh kanisa sasa ile natoka nje kimoyo moyo nasema sasa huu ndio wakati wa kumla nashangaa mwenzangu mwenzangu ana ni ignore tupo njian katika njia ambazo watu hawapiti namshika kuno hataki namwomba tupige kiss hataki nimsogelea naye anasogea in short anatak tuongee mbali mbali tuliagana kishikaji nikaondoka na duku duku moyoni maana hata io pesa ya kupima nimetoa mm sasa basi nikaona huyu nikiweka ufala ndio italeta shida zaidi nikamtumia text kumuuliza km upo na mm au la

LAMIJINU KUWA HAUPO NA MM ANA MTU MWINGINE KWENDA KUPIMA ALITAKA KUNIRIDHISHA TU

NIMESHANGAA YAAN NAJUTA HATA KWANN LEO NILIJISHAUA KUMUONGELESHA NINGEMPUUZA KM SIKU ZOTE KAPIGA BILL AMBAYO HAINA FAIDA NAHISI ALITAKA KUNIKOMOA TU

My dear boys msibadili misimamo yenu ili tu kumfurahisha mwanamke mwanamke akili zake anazijua yy mwenyewe na pia nimegundua mwanamke ukishafanya nae tu ni ngimi sana kukudisappoint yaan ni ngumu lakini km hujawah kumgusa ilo linawezekana saa yeyote mda wowote anakuchenjua tu mwisho japo kuwaingilia ni ticket ya kuwa conquar please dont take it easy kuwa wengine wana mabalaa yao mm niliwah kusex na mwanamke fulan hv lkn aligoma kupima ila kila akiniona anabadili njiani.
Hapa hakuna lolote. Ima wewe ni mshamba au unataka kujifunza kutunga hadithi, Stori yenyewe inajionyesha unavyojichanganya na kujipinga mwenyewe. Mara hivi mara vile. Hamna kitu mwanangu. Kaa ujifunze kujieleza badala ya kudanga. Hakuna uliponiudhi kama kujumuisha wanawake wote hata mama na bibi yako wakati umekutana na mpuumbavu mwenzio na kufanya mjumuisho wa kijinga. Kumbaff kabisa. Najuta kusoma upuuzi huu wa kwanza katika miaka kumi. Shame on you!
 
HABAR WADAU

Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu waniombe namba yangu nikawapa tukaanza kuwasiliana in short nilipoona kajileta ilibid nimsaidie maana nilijua wazi ingekuwa ngumu kwake kunitongoza ivo nikamtongoza yeye

Akakubali kwa kipindi hiko alionesha upendo wote ila nilikuwa na hofu nae maana kazoeana na madogo ya mtaani km yote vile nikawa nahisi anaweza kuwa malayachini kwa chini ma kipindi hiko chote sijawah hata kumkiss wala kumpiga dyu dyu nilimwambia siwez mpaka tukapime akawa ananizungusha sound kibao mara j pili nichek j pili ukimpigia hapokei mara sipo tayar kupokea majibu nikiwa tayar ntakuchek mara sijui nataka ninunue vifaa nijipime mwenyewe nikaona huyu miyeyusho nikampotezea na wala pesa alikuwa haombi wala nini ivo nikampotezea jumla jumla

sasa leo bwana sijui nikapatwa na nn nilipita njia anayofanya kaz kila siku huwa napita hapo ila huwa simwongelesh sasa leo nikamwongelesha tuseme nilimuonea huruma mda mrefu namkaushia tu tukaanza stor za hapa na pale tukaenda kwenye kibaa kimoja akaagza red bull 3500 mmmh nikashanga maana siku za nyuma alikuwa anaagizaga soda sikujali nikaona sio kesi nikampa pini akapiga tatu TOTAL 10500

kISHA TUKAPANGA sasa leo tukapime tukaenda hospital moja tukapima fresh kabisa na majibu yakatoka fresh kanisa sasa ile natoka nje kimoyo moyo nasema sasa huu ndio wakati wa kumla nashangaa mwenzangu mwenzangu ana ni ignore tupo njian katika njia ambazo watu hawapiti namshika kuno hataki namwomba tupige kiss hataki nimsogelea naye anasogea in short anatak tuongee mbali mbali tuliagana kishikaji nikaondoka na duku duku moyoni maana hata io pesa ya kupima nimetoa mm sasa basi nikaona huyu nikiweka ufala ndio italeta shida zaidi nikamtumia text kumuuliza km upo na mm au la

LAMIJINU KUWA HAUPO NA MM ANA MTU MWINGINE KWENDA KUPIMA ALITAKA KUNIRIDHISHA TU

NIMESHANGAA YAAN NAJUTA HATA KWANN LEO NILIJISHAUA KUMUONGELESHA NINGEMPUUZA KM SIKU ZOTE KAPIGA BILL AMBAYO HAINA FAIDA NAHISI ALITAKA KUNIKOMOA TU

My dear boys msibadili misimamo yenu ili tu kumfurahisha mwanamke mwanamke akili zake anazijua yy mwenyewe na pia nimegundua mwanamke ukishafanya nae tu ni ngimi sana kukudisappoint yaan ni ngumu lakini km hujawah kumgusa ilo linawezekana saa yeyote mda wowote anakuchenjua tu mwisho japo kuwaingilia ni ticket ya kuwa conquar please dont take it easy kuwa wengine wana mabalaa yao mm niliwah kusex na mwanamke fulan hv lkn aligoma kupima ila kila akiniona anabadili njia
Wewe na ujuaji wako hapa JF kumbe ni kinda!
 
Huyo dem nae balaa anakunywaje redbull 3 kama bia? Ila nawe pia unazingua bill ya 10,500 unaona umepigwa, je kuhudumia familia utaweza kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom