Wanawake wanavutiwa na wanaume wa aina hii

naomba niyaseme haya yangu niliyoexperience katika mahusiano wale wanawake ambao bado hawaja ingia kwenye.ndoa wanapenda wanaume wa aina hii
1.wasiopenda na kutokujali
2.wenye uwezo kipesa na kiuchumi
3.playboy
wanaume wanaotembea na wanawake wengi wengi hata Kama hauna pesa watakupenda
Ndio maana michepuko haiishi, magonjwa ya ajabu ajabu yanaongezeka, uaminifu kwenye ndoa hakuna...Yaani ni hovyohovyo tu
 
Ukweli upo hapo,n ukiwa against hvyoo mwanamke anakuona boya/fala anavifanya yeye.
 
naomba niyaseme haya yangu niliyoexperience katika mahusiano wale wanawake ambao bado hawaja ingia kwenye.ndoa wanapenda wanaume wa aina hii
1.wasiopenda na kutokujali
2.wenye uwezo kipesa na kiuchumi
3.playboy
wanaume wanaotembea na wanawake wengi wengi hata Kama hauna pesa watakupenda
Sasa hapo umejikanganya namba tatu, huwezi kuwa playboy bila kupendwa na hao wadada. Labda useme hizo mbili za mwanzo ndo zinazohitajika labda ongezea na sifa ya uhandsome
 
kuna watu sio mahandsome ila wanakubalika nafikili kuna kitu mwanamke akishakuona upo na mwanmke mzuri zaidi yake anajishusha anaanza kuvutiwa na we nakufikilia ni kitu gani unacho chaziada na ye awe na we
 
Ndio maana michepuko haiishi, magonjwa ya ajabu ajabu yanaongezeka, uaminifu kwenye ndoa hakuna...Yaani ni hovyohovyo tu
mkuu umeongea kwa hasira kuna nini mkuu kimekupa wadau wakusaidie
 
namba mbili hata mi nampenda
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] uko vizuri..
Kwani hata mimi nampenda sana demu anayependa kuniomba omba pesa... Napenda kwenye ushawishi wa matumizi ya PESA [emoji51] [emoji51]
 
nimekutamani
 
naomba niyaseme haya yangu niliyoexperience katika mahusiano wale wanawake ambao bado hawaja ingia kwenye.ndoa wanapenda wanaume wa aina hii
1.wasiopenda na kutokujali
2.wenye uwezo kipesa na kiuchumi
3.playboy
wanaume wanaotembea na wanawake wengi wengi hata Kama hauna pesa watakupenda

May be...
 
Mwanaume kuwa na pesa ni sawa na mwanamke kuwa mzuri, watakuja tu wenyewe bila kuwaita
 
Naomba niyaseme haya yangu niliyoexperience katika mahusiano wale wanawake ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa wanapenda wanaume wa aina hii.
1.Wasiopenda na kutokujali
2.Wenye uwezo kipesa na kiuchumi
3.Playboy

Wanaume wanaotembea na wanawake wengi wengi hata kama hauna pesa watakupenda.

Women are naturally wired like that. Kutojali inaonyesha jinsi ulivyo Alpha. Its in their genes. Sasa kama wewe kimbao mbao kuna chance kubwa utakuwa mpole, ataona kama huwezi kumlinda. Kumbuka kutojali inamaanisha humtegemei, sio yule jamaa atakae lia kama mtoto mkiachana, and that's attractive.

Babe nilie nae proves otherwise. Mimi ni mpole kwake, but surprisingly she likes it. Naomba asiwe anafake. From experience, ex girlfriends wengi walivyonibwaga waliniambia you are too nice[emoji15]
Kimesmo hichi kikanipa nguvu 'nice guys finish last'. Huyu wa sasa naanza mimi na nafinish mimi.

L.I.F.E

-callmeGhost
 
upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom