GoLC
Senior Member
- Jul 10, 2025
- 135
- 212
Habari za jioni wana MMU
Moja kwa moja kwenye mada. Nilisema eneo langu kuu litakuwa ni ndoa na mahusiano
Sasa kuna huu usemi wa wanawake kuwa eti hawajui wanaume wanataka nini. Swali hili huja pale ambapo mwanaume katamani kiumbe ambacho mwanamke anaona kina walakini kwa kiasi fulani. Pengine amejilinganisha yeye na X wako akaona kabisa kuwa X ni moto. Saa subconsciously hili swali linamtoka.
Pengine kaona mwanamke mwenzake anazengewa na wanaume na akimtazama haoni. Yani kwa mtizamo wake haoni substance ya kutosha kwa huyo madam. Swali linamtoka tu.
All in all mwanaume anataka (sio anaomba) SUBMISSION. Hii itoke kwa mwanamke. Sio kwamba hawajui ila vichwa ngumu tu. Hili neno ukilileta kwenye muktadha wa mapenzi na ndoa utaliita UTII.
Wanawake msiulize tena hay maswali maana mtapewa na majibu msiyoyapenda sana. Labda niwakumbushe tu kuwa hii submission sio kwenye tendo la ndoa, maana wanaweza kudhani ile kubinuliwa binuliwa ndio submission. Pale wakati wa kubinuliwa elewa kuwa hata wewe unasikia raha.
UTII na pale ambapo unapaswa kutekeleza hata lile lisilokupendeza kwa wakati huo, ila likuwa na faida kwenye ndoa yenu. Nisiongee sana maana mengine yanajulikana kama maji ya kunywa. Kubwa ni hilo la kujitoa ufahamu. Hilo swali msiulize tena. Just submit to the one you love.