Wanawake wanataka muwatunze

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,575
Reaction score
3,111
Mambo manne yanayovutia wanawake Kwa wanaume

1 Uwezo wa kukidhi mahitaji yake: Mwanamke anatamani uchukue usukani wewe mwanaume uwe mpaji wa mahitaji yake.Hii haijalishi anafanya kazi au hafanyi kazi hata kama hatasema au atakataa ila ukweli wanao moyoni.

2 Anapenda kusikilizwa: Wengi wanapenda kusikilizwa matatizo Yao shida zao hata zisipotatuliwa ila kusikilizwa anapoongea ni jambo muhimu.

3 Anapenda kuthaminiwa: Mwanamke anataka ajiskie wa thamani anapokuwa na Mwanaume wake.

4 Kusifiwa maungo yake: Tafiti zaonesha hata mwanamke awe mzuri kiasi gani Bado anakuwa na uoga au wasiwasi kuhusu sehemu baadhi ya mwili wake.Unapomsia maungo yake hasa pale mnapokuwa kwenye SITA Kwa SITA inaleta amani na furaha kwake.

##WEEKEND NDYO INAISHA
 


😍😍😍
 
Tatizo ndani ya sifa Kuna unafki....mi sipendi kiukweli
Hata kama unafiki unazipokea, maneno huuumba.. kwani mtu akikuambia una kei tamu mnato mnato inavuta.. unajisikiaje hapo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ unasikia niingize yote au iwe nusu kwa juu.. unaambia una mwili mzuri anakubana ile kwa kukumbatia kwa nguvi huna ana ku kukisi alafu anakusifia lips.. au anakutazama machoni huku anakuambia unajisikiaje.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
......hayo uliyoainisha hapo juu ni sahihi kabisa wanawake ndo mahitaji yao makuu.......shida ni sisi masikini tunajifanyaga tunajua kutekeleza vizuri hayo matatu ya chini, kumbe hatuna uwezo wa kutekeleza la kwanza.......so tutafute hela coz la kwanza likitekelezwa haya mengine yanavumilikaga tu......njaa na mapenzi haviendi pamoja hata romance yako mwanaume inakaa kinjaanjaa....... ukitaka french kiss unakuta wife kakung'ata kumbe alijua anakula chips, au unamsikia analia unajua ni mahaba, unamuanhalia vizuri unaona machozi unamuuliza nini tatizo anasema njaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…