Mshua's
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 806
- 554
Mapenzi hayana formula!! Kwa upande wangu huwa naamini mwanaume ukiwa na pesa utapata mwanamke wa aina yoyote ile unayemtaka. Kwa mfano, muangalie Diamond anavyojipakulia mademu wakali wakali bila kutumia nguvu nyingi!!! Unadhani kabla ya kupata hela angeweza kuwapata kina wema na huyu mwenzake aliyenaye sasa hivi? Acha papala, tafuta hela utapata mademu wakali, kama unabisha, muulize Mzee Reginald Mengi