Wanawake wanapunguza huku wanaume wakiongeza

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Kwa tathmin inaonesha kwamba Imekuwa ni kawaida katika mahusiano kukuta wanawake wakipunguza idadi ya wapenz alowah kufanya nao mapenz na huku wanaume wakiongeza idadi pindi aulizwapo na mpenz wake. What causes ol of these? Ni kutojiamin au..?
 
Nmefanya kwa baadh ya ndugu,jamaa, na marafiki zangu wanaonzunguka wa jinsia zote.
 
nionavyo mimi, ni kinyume, wanawake wanaongeza idadi, wanaume ndio wanapunguza idadi.
 
@gaga, utakuta mschana ukimuuliza abt wa2 alofanya nao mapenz atakwambia let say watano huku kiuhalisia ni 20 na kwa mwanaume viceversa
 
Hahahahahaaa sasa nimekuelewa, ni kwel sasa unadhani atakwambia hivo si utakimbia? hili ni kweli kabisa, hata mie ukija sasa hivi nitakwambia mmoja tu kumbe watatu
 
haaha, what if cku ya cku akija pata evidence lyv kwama n wa3 na co kama ulvomwambia?
 
Mwanaume anapokua younger ana vitu vingi vinavyo pause
kama tatizo kwa wao kupata SEX kila watakapo tokana na kama hizi baadhi..

  • Hajui kutongoza na kumconvice mwanamke, hivyo huepusha shari kwa kula kwa macho.
  • Hana pesa ya kuweza support mwanamke hata kwa hivyo vitu vidogo..
  • Bado ni mdogo, hua shida kidogo kupata sehemu ya kufanyia SEX, hivyo hua na mmoja/wawili hivi..
  • Hana saana confidence katika tendo la SEX, na applications zake, hivyo kumkwamisha...
Akisha kua mtu mzima, kapata kazi, kisha kua na experience ya kutosha ya 6/6, ana confidence hivyo idadi kuongezeka.

Mwanamke anapokua young anavitu vingi vinamshawishi
saana kua na wapenzi wengi ama kubadilisha mara kwa mara.

  • Ni mdogo na very naive, hivyo huamini maneno ya uongo yoote ya wanaume.
  • Hujiamini saana kua she is very beautiful, hivyo hua in favour kwa mtu yeyote antaemsifia (aka mama huruma)
  • When younger idadi ya wanaume watongozaji ni kubwa mno hivyo kumfanya ashawisheke..
  • Makundi (marafiki zake kumshawish) vitu kama double crossing, kubadilisha guys..
  • Kuto kujitambua kabisa what she is about.
Akisha kua mtu mzima ndo anagundua kua alikua tu anachakachuliwa, hutulia, huanza kua makini maana anataka kuolewa au kusafisha jina, hadanganyiki ki rahisi, hata mwenye wengi hujua nini anafanya..

DISCLAIMER: Sio woote yaani kwa wadada/wakaka

Atakuwa kesha ji attach kwa hiyo itakuwa sio rahisi kujibandua, itabidi afanye kazi ya ziada na mimi hapo ndio nitamwonyesha kwamba mwanamke ni noma akipewa nafasi, then namwambia ukweli sasa ndio uliyosikia niliogopa kukwambia.....atabakia tu kusema...bathi gaga uthirudie tena mpenzi wangu
 
Ha ha haaa! tangu asubuhi nilikuwa kule kwenye ma stress! Afadhali nimekuja hapa kurudisha afya! Yaani hii heading yako imenivunja mbavu, maana mi nilijua ni kupunguza na kuongeza vile 'vinanihii!' Kuna jina mnaviita hapa nikikumbuka nitarudi....
 
Mwanaume anapokua younger ana vitu vingi vinavyo pause
kama tatizo kwa wao kupata SEX kila watakapo tokana na kama hizi baadhi..

  • Hajui kutongoza na kumconvice mwanamke, hivyo huepusha shari kwa kula kwa macho.
  • Hana pesa ya kuweza support mwanamke hata kwa hivyo vitu vidogo..
  • Bado ni mdogo, hua shida kidogo kupata sehemu ya kufanyia SEX, hivyo hua na mmoja/wawili hivi..
  • Hana saana confidence katika tendo la SEX, na applications zake, hivyo kumkwamisha...
Akisha kua mtu mzima, kapata kazi, kisha kua na experience ya kutosha ya 6/6, ana confidence hivyo idadi kuongezeka.

Mwanamke anapokua young anavitu vingi vinamshawishi
saana kua na wapenzi wengi ama kubadilisha mara kwa mara.

  • Ni mdogo na very naive, hivyo huamini maneno ya uongo yoote ya wanaume.
  • Hujiamini saana kua she is very beautiful, hivyo hua in favour kwa mtu yeyote antaemsifia (aka mama huruma)
  • When younger idadi ya wanaume watongozaji ni kubwa mno hivyo kumfanya ashawisheke..
  • Makundi (marafiki zake kumshawish) vitu kama double crossing, kubadilisha guys..
  • Kuto kujitambua kabisa what she is about.
Akisha kua mtu mzima ndo anagundua kua alikua tu anachakachuliwa, hutulia, huanza kua makini maana anataka kuolewa au kusafisha jina, hadanganyiki ki rahisi, hata mwenye wengi hujua nini anafanya..

DISCLAIMER: Sio woote yaani kwa wadada/wakaka

hayo uliyosema hapo ni kweli kwa asilimia kubwa.
 
Back
Top Bottom