mengi ya hayo malalamiko huwa yana sababu/chanzo chake, kama nyamayao nimefanya hilo sana tu na sababu zangu zilikuwa kwanini asihudumie familia yake tena kikamilifu anamaliza ngapi kwa huyo "hawara? coz nilijua anae basi huku nyumbani naomba mtoto asipige chafya huduma imefika, kwasasa nimeanza kidogo kidogo kusaidia, nilikuwa sijigusi kwa lolote na ni lazima sio ombi atoe huduma, sema sasa hivi hasira za hawara yake zimeisha naweza kusiadia kidogo kidogo.
Mkuu hapo umenena. Atakayesoma andiko hili na asilielewe ni bora akabebeshwa jiwe na kutupwa mtoni.
Wanasaikolojia sasa wamebaini kwamba, mwanamke ana uwezo mkubwa wa kuvumilia kwenye hali ngumu kuliko mwanaume. Kwa hiyo, anaweza kuanzia chini sana, kwa kuuza muhogo wa kukaanga hadi akafika juu na kumiliki biashara kubwa. Lakini wanawake walio wengi wamefundishwa kwamba, wao hawawezi, hawana nafasi bali ni hadi waume zao wapende au wawasaidie mtaji. Mimi ninawajua wake wa watu wenye uwezo kifedha ambao, mmoja alikuwa akipika maandazi na kuyasambaza kwenye mighahawa kadhaa. Hivi sasa huyu mama anamiliki mghahawa mzuri na maarufu huko mkoani Arusha.
Mwingine alikuwa anatengeneza na kudarizi vitambaa vya mezani kwa miaka tisa, wakati mumewe angeweza kumpa mtaji mkubwa zaidi, kwani alikuwa na uwezo. Lakini hakukaa kusubiri mumewe ampe, aliamua kufanya kwa kutumia akili na mwili wake. Huyu mama hivi sasa anamiliki duka kubwa la nguo za kike na watoto hapa jijini Dar. Kwa nini waliamua kufanya wenyewe, tena kwa kuanzia chini, bila kusubiri waume zao? Kwa sababu wao ni binadamu kamili ambao wanaweza sawa na wengine. Waliamua kuweza siyo kusubiri kuwezeshwa. Kwani hata wanaume ambao wanapata fedha au mali si wameanzia mahali fulani! Mtu anasubiri kupewa hajishughulishi, halafu anatarajia atendewe haki! Utatendewa vipi haki nawe ni ombaomba ambaye unaamini kwamba, kuomba ndiyo haki yako?
Kuna wanawake ambao ukiwatazama, utagundua kwamba, wanaamini kuwa waliletwa hapa duniani kuwasubiri wanaume wayafinyange maisha yao kama wanavyotaka. Kwa hiyo, badala ya kutenda, badala ya kuanza kujitafuta, wanasubiri waume zao wawape mitaji. Wengine wanapewa kweli hiyo mitaji, lakini wanalipia puani fadhila hio. Naita fadhila kwa sababu hakuna mahali ilipoandikwa kwamba, mwanaume au mume anapaswa kumpa mkewe mtaji au kumtafutia kazi. Ninachojua mimi ni kwamba kila mtu ameletwa hapa duniani kuja kuishi kama yeye. Kwenye zile ndoa ambazo wanawake hawako tayari kuthubutu, hawana ubunifu wowote na wanasubiri waume zao wawafanyie kila kitu, hata kuwaambia wafanye nini, hakuna amani. Hakuwezi kuwa na amani kwa sababu wanawake kama hawa wana utegemezi kwenye kila kitu, ni wavivu wa kufikiri na kutenda. Unaweza kushangaa hata kulea watoto kunawashinda.
Mwanamke hana ajira, hana shughuli yoyote ya kumwingizia anayofanya, lakini anashindwa hata kuwasaidia watoto wake kufanya homework jioni. Kazi yake ni kuzurura na kutafuta umbea au kutafuta kusifiwa kwa kuvaa dhahabu kochokocho na nguo za fasheni. Na ndio maana wanawake wengi waume zao wanapokufa hawalii kwa sababu wamepoteza wenza, wamepoteza watu waliokuwa wamezoeana nao…………, hapana. Wanalia kwa sababu hawajui waanzie wapi, waguse na kupapasa wapi. Wanalilia nafsi zao, siyo za marehemu wao. Kwao kufiwa na mume ni sawa na kufa wenyewe. Wengine husema kabisa, ‘umeniachia watoto, sasa nitawalea vipi?'
Unataka kusema wewe ulikaa tu, hukuwa na mchango wowote kwenye kulea watoto wenu! Na ni kwa nini usiwe na mchango mkubwa kuliko wa mumeo katika kuwalea? Ni kwa sababu uliamua kujifanya nusu-mtu! Kila binadamu anaweza kufanya lolote, kila binadamu anaweza kuyakabili maisha kwa namna anavyotaka na kumudu. Lakini wanawake wengi hawakulelewa na kufanywa kuamini hivyo. Wanaamini kwamba, wanaume ndiyo wanaoweza na wao wamezaliwa ili kuwa wategemezi. Hiyo si kweli, ingawa kwa wanawake hao inaonekana kuwa ndiyo ukweli.
Ni kweli kwamba, wanawake wamenyimwa nafasi nyingi na wamefanywa raia wa daraja la pili na mfumo-dume. Lakini kwa leo kuendelea kujikunyata na kusubiri waume zenu wawafanyie kila kitu ni dhambi kubwa. Kuna idadi kubwa ya wasomi ambao mama zao waliwasomesha kwa kuuza maandazi na vitumbua. Kuna mama namjua ambaye mumewe alikuwa hajui kama kuna kitu kinaitwa kutunza familia. Huyu mama aliweza kwa mwili na akili yake kuhangaika hadi watoto wake wawili kati ya sita wakafika chuo kikuu. Hakuwa mwanamke msomi wala hakuwa na ajira. Alikuwa na moyo mkuu wa kutumia nafasi za kutafuta maisha alizoziona na kuzibuni. Unaweza kushangaa, mume anakufa mwanamke anaachiwa mali. Kwa sababu hajui chochote, hakuwahi kuhangaika kujua namna ya kutafuta, anatafuta mwanaume au mume mwingine ili amsaidie kusimamia mali. Mwanaume huyo anamtapeli mali zote na kumwacha akijikung'uta.
Mwanamke, simama mwenyewe, anza leo kujituma hata kwa kuuza maji.
Mh! sasa wale wasio na mahawara wanapata adhabu kutokana na dhana hiyo hiyo.
Kumbuka hilo nalo limekuwa ni Mob Psychology, kila mwanamke anaamini kwamba kila mwanaume ni lazima ana nyumba ndogo.
Nilishangaa juzi hapa kwenye MMU Exclusive interview yangu na lara 1, aliponiuliza kama niliwahi kum-cheat mama Ngina nikakanusha, nusura nitobolewe macho, si wanaume wala wanawake wote walinishambulia wakiongozwa na vinara wa humu MMU Babu DC Dark City na ODM Asprin.
Nahukumiwa kwa sababu ya dhana,na sio kwa ushahidi.......!
Wapo baadhi ya wanaume (Wasiojitambua lakini) wanaolazimika kutokana nje ya ndoa zao kwa ule mtindo wa "kama hanaimini ni heri nifanye kweli" baada ya kuchoshwa na kelele za wenzi wao za kutuhumiwa kutoka nje wakati wala hawana hata wazo hilo..........
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria.
Tatizo hujajua sisi mababu ambao tumekulia kipindi hicho cha hofu ya Mungu na bado tukashuhudia mengi, tumegeuka kuwa maTomaso kwenye haya mambo katika kipindi hiki cha dot com ambacho Mungu amegeuzwa mjomba wa wajukuu zetu.Mh! sasa wale wasio na mahawara wanapata adhabu kutokana na dhana hiyo hiyo.
Kumbuka hilo nalo limekuwa ni Mob Psychology, kila mwanamke anaamini kwamba kila mwanaume ni lazima ana nyumba ndogo.
Nilishangaa juzi hapa kwenye MMU Exclusive interview yangu na lara 1, aliponiuliza kama niliwahi kum-cheat mama Ngina nikakanusha, nusura nitobolewe macho, si wanaume wala wanawake wote walinishambulia wakiongozwa na vinara wa humu MMU Babu DC Dark City na ODM Asprin.
Nahukumiwa kwa sababu ya dhana,na sio kwa ushahidi.......!
Wapo baadhi ya wanaume (Wasiojitambua lakini) wanaolazimika kutokana nje ya ndoa zao kwa ule mtindo wa "kama hanaimini ni heri nifanye kweli" baada ya kuchoshwa na kelele za wenzi wao za kutuhumiwa kutoka nje wakati wala hawana hata wazo hilo..........
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria.
And that ''staff'' can be AIDSWE BANDIKA MABANGO, HUBIRI, FANYA NA MAOMBI!!!!!!!!!! Ila sisi ukupe na unyonyaji hatuachi!!!!!!!!! Urithi huo tumepewa na bibi zetu, chezea!
KAMA UNAWEZA KUKIPATA BURE KWANINI UKITOLEE JASHO!!!!!!!!!!! "If i cant get something i just get a man who can get me the staff!"
Baby my mchumba naomba hela ya mtaji nimekwama......
Tunatafuta wa kutulea
Nimechoka kuamka na kwenda kumwaga zege daily
Kwani mie nina kasoro gani hadi nikose wa kunilea hapa mjini?
Waowww!! Naona dalili za baby come back..... Hii haina uhusiano wa "mahawara hawaachani" source; Fidel80.Baby my mchumba naomba hela ya mtaji nimekwama......
rafiki umezoea mipingo utaweza hao kuku wa mayai? usije ukachakachua bure, lol!Hivi hamna mzungu aliyebaki na mie nijitwalie??
Waowww!! Naona dalili za baby come back..... Hii haina uhusiano wa "mahawara hawaachani" source; Fidel80.
Baada ya kusema hayo naomba kukufahamisha kuwa ombila lako linafikiriwa na limekubaliwa.
Come zis wei mchumba....
Hehehehehe! wewe bana..... ChezeyaNinavokupendaga wewe hujui tu.....Na nilijua tu huwezi nileti down swirieeee..Afu wewe hata sio bahili kabisaaaa..
xo xo baby....
rafiki umezoea mipingo utaweza hao kuku wa mayai? usije ukachakachua bure, lol!
ha haaaaa, bado unakumbuka maumivu shem? lol! pole sanaMh! sasa wale wasio na mahawara wanapata adhabu kutokana na dhana hiyo hiyo.
Kumbuka hilo nalo limekuwa ni Mob Psychology, kila mwanamke anaamini kwamba kila mwanaume ni lazima ana nyumba ndogo.
Nilishangaa juzi hapa kwenye MMU Exclusive interview yangu na lara 1, aliponiuliza kama niliwahi kum-cheat mama Ngina nikakanusha, nusura nitobolewe macho, si wanaume wala wanawake wote walinishambulia wakiongozwa na vinara wa humu MMU Babu DC Dark City na ODM Asprin.
Nahukumiwa kwa sababu ya dhana,na sio kwa ushahidi.......!
Wapo baadhi ya wanaume (Wasiojitambua lakini) wanaolazimika kutokana nje ya ndoa zao kwa ule mtindo wa "kama hanaimini ni heri nifanye kweli" baada ya kuchoshwa na kelele za wenzi wao za kutuhumiwa kutoka nje wakati wala hawana hata wazo hilo..........
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria.
ha haaaaaaaa, unataka kuwa ombaomba? hiyo ni fani ya watu my dear........Nataka na mie pesa ya kushop, nimechoka maji ya asubuhi kila siku nawahi kazini
Afu hata hela zenyewe sina
shosti mnialike na mimi niwasaidie......ni limama la watoto watatu ametengana na mume, amemkamata kijana vibaya sana na juzi kati kamnunulia ka raum basi kijana amevuruguka akili kabisa, hataki kuchakarika kwa lolote coz limama limemwambia litamfungulia biznes,kwa mama mdogo mambo si mambo, ukienda kwake ni kesi/malalamiko mpaka unachoka, jana mama amenical ananiambia mdogo wako amekuja kuchukua kila lililo lake ananiambia namwekea kiwingu mana nachonga sana kapangishiwa nyumba majengo, mie kwenda huko juzi ilikuwa ni kumjua huyo mwanamke ambae mama analalamika/sononeka sana juu yake na nilijua wakati mwingine ni mambo ya wamama kuwachagulia watoto wao wanachotaka, coz nimeona kwa macho yangu tutapambania kuwasambaratisha kabisa, kijana lazima fahamu zake za ujana zirudi na ajitambue/kujituma sio ishu za kulelewa, yule mmama angejua nitamgeuka baada ya muda mfupi nadhani asingejituma kunihudumia vile, hapa namsubiria tu dada mkubwa wa kijana anakuja likizo next week tujue tunaanzia wapi.
And that ''staff'' can be AIDS
bado naikumbuka ile story ya lara 1 ya kulipa bill ya dinner......Unajua lara 1 unawaponza wenzio.
Wewe unaongea as a jockey, lakini wenzako watakuamini humu, maana ushakuwa role mode kutokana na talk show yako, inabidi uwe mfano mwema humu JF.......LOL
Hivi unadhani wale kina mama na kina dada wanaozunguka mitaani na mabeseni na kuuza ndizi, matango, maembe na vipande vya mihogo, hawana huo uke?
Wanao na tena wengine wanalipa kwa sura na shape lakini wanalinda heshima zao..............!
ha haaaaa, bado unakumbuka maumivu shem? lol! pole sana
ni kweli kuna wababa wanatoka nje sababu wameshasingiziwa sana kuwa wanatoka wakati hawatoki...... na hili ni kosa kubwa sana ambalo wamama wengi tunalifanua. kama huna ushahidi wa hilo ni bora kutomhukumu mwenzio.
mimi nimejifunza kitu kimoja, smses, simu, na communications nyingine zinaweza zisiwe ushahidi muafaka wa mtu kutoka nje..... mimi yalishanikuta haya
bado naikumbuka ile story ya lara 1 ya kulipa bill ya dinner......
leo hapa anawaambia wenzie waendelee kuwa ombaomba.......