Wanawake wanapenda pesa kuliko sex

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Mambo mengi wanawake wanaongopa, mfano eti nina ugwadu hatari, hakuna kitu kama hicho ukweli ni kwamba yote haya ni ili wapate pesa.


Ndio maana ji rahisi mwanamke kumwambia mwanaume ana ugwadu ana taka kuja umtumie nauli na baada ya kutuma haji kwa sababu sex kwa wanawake sio priority.

Wanawake wangekua na hisia za mapenzi kama walivyo na hisia za pesa wanaume wangepata shida sana.

Maneno haya ukiyasikia toka kwa mwanaume ni uongo.

1. Nina ugwadu balaa
2. Nina genye balaa
3. Sijafika kileleni

Maneno haya hutumika kuwapanga wanaume.
 
wakijibu hapo tutaelwa
 

Attachments

  • IMG-20210202-WA0004.jpg
    IMG-20210202-WA0004.jpg
    70.4 KB · Views: 2
Mkuu acha kufananisha hela mambo ya kijinga...

Pesa inaleta sex ila sex haileti pesa.. So hata wanaume tunapenda pesa kuliko sex...

Pesa
 
Hapana, wanaume wanapenda sex kuliko pesa
Mkuu acha kufananisha hela mambo ya kijinga...

Pesa inaleta sex ila sex haileti pesa.. So hata wanaume tunapenda pesa kuliko sex...

Pesa
 
Back
Top Bottom