Wanawake wanapenda makofi usiwanyime

Wanawake wanapenda makofi usiwanyime

Mamy hayo makofi nilistahik kwa upande fulan.....nilichukua simu yake mpyaaaa kainunua kwa pesa ndefu tu nkaibamiza chini ikatoka chenga za makinikia hapo ndipo nlipojua kwa nini ndege haina site mirror ...acha kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mimi ningekuteka hakuna kitu nathamini baada ya binadamu kama simu yangu
 
Ndio maana nimesema tunatofautiana........ila tambua kuwa sio kila mwanamke anaweza kuvumilia kupigwa. (Treat me as a queen, I will treat you as a king)
Weee hakuna uquuen wala uking kwenye mapenzi.
 
Wanaume dhaifu ndio pekee hutumia nguvu za mabavu ya mwili kuwaadhibu wanawake ,mwanaume rijali kamwe hawezi kufanya hivyo kwa sababu anaijua namna bora ya kumchapa mkewe na kumliza bila ya kunyanyua mkono wake kumpiga
Wanaume wao ni mabwege kama wapo mtaani kwako waambie ni mabwege kuna siku utajua kwa nini.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mimi ningekuteka hakuna kitu nathamini baada ya binadamu kama simu yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo hvyo alinibomoa mpaka nikabadilika rangi na kua mwekundu.....na vyenye rang yang nyeupe daaa kila mtu kazin alijua kwamba nimefumuliwa
 
Sijui unaongea shit gani wewe!? No body is perfect hata mwanamke wako nae yupo kwenye hilo kundi na hata wewe pia hauko perfect kwa kila kitu, je wewe unapomkosea nae akufanyeje ili tu akulipizie makosa yako!? Muda mwingine wanaume mkue kipigo hakiwezi kumbadilisha mwenza wako Bali kinamshushia hadhi na hali ya kujiamini juu yako
Ndio maana nikakwambia kaa katika nafasi yako, there are do's and dont's katika mazingira yoyote ya kimahusiano. Kilainishi ni maneno mawili tu. Nisamehe mpenzi na Asante mpenzi!

This proves kuwa hakuna aliye perfect ila ukiwa unajua mwenzako hapendi A&B lazma ujiweke katika position ya kutofanya yasiopendekezwa. Nimekwambia ukitoka uwe unaaga sipendi tabia yako ya kujiondokea kama kindege still huelewi unarudia hilo kosa kila kukicha kana kwamba wewe ni mtoto mdogo kwanini nisikuzabue?

Mara zaidi ya moja nimekwambia tunapoongea uwe msikilizaji mzuri basi na utumie kauli tulivu, we kila tukiongea ni kubisha tu naongea nawe unaongea na kunipandishia sauti na kauli za kwahiyo,sa mi nfanyeje, utajijua. Kwa tabia hizo ntakufumua tu and i wont give a flying fuuk!
 
Mkuu kiukweli nakuunga mkono hawa watu dawa yao ni kupigwa akili huwa zinawarudi
 
Sipendi kupigwa. Nimekukosea, nikosoe Kwa ustaarabu ntakuelewa, ntarekebika na nitafanya vizuri zaidi.
Ukiwa hupendi kupigwa hutatengeneza mazingira ya kupigwa hata siku moja. Ukiwa mwepesi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa umekosa hutorudia basi kwa mwanaume mwenye busara akufanyi kitu zaidi atakusamehe ila usifanye tena hapendi.

Shida ipo kwa wale wanawake wanajuaga kabisa kwamba nikifanya kitu hiki cha hovyo nilishakatazwa nawezapigwa tu ila ngoja nifanye nione atanifanyaje. Mwisho wa siku unachezea mkoyongo wa maana ni mikofi tu na mimbata. Af unakuja lalamika hutaki kupigwa. Haiwezekani rudi kwa babaako anaelelea ujinga!
 
Kuna watu hata uwakosoe bila makofi hawasikii kamwe bora tugawane hasira kwa makofi.
 
Kwanza sipendi kafanya makosa ya makusudi, na ikitokea bahati mbaya naomba radhi. Nikirambua mwenzangu hapendi jambo fulani huwa sina sababu ya kulifanya. Na sijawahi pigwa na mwanaume, Kwa hilo nashukuru Mungu.
 
Ukiwa hupendi kupigwa hutatengeneza mazingira ya kupigwa hata siku moja. Ukiwa mwepesi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa umekosa hutorudia basi kwa mwanaume mwenye busara akufanyi kitu zaidi atakusamehe ila usifanye tena hapendi.

Shida ipo kwa wale wanawake wanajuaga kabisa kwamba nikifanya kitu hiki cha hovyo nilishakatazwa nawezapigwa tu ila ngoja nifanye nione atanifanyaje. Mwisho wa siku unachezea mkoyongo wa maana ni mikofi tu na mimbata. Af unakuja lalamika hutaki kupigwa. Haiwezekani rudi kwa babaako anaelelea ujinga!

Kwanza sipendi kafanya makosa ya makusudi, na ikitokea bahati mbaya naomba radhi. Nikirambua mwenzangu hapendi jambo fulani huwa sina sababu ya kulifanya. Na sijawahi pigwa na mwanaume, Kwa hilo nashukuru Mungu.
 
Biblia inasema usimyime mtoto fimbo nataka nibadilishe hiki kipengele kiwe usimyime mwanamke makofi
 
Siku hizi watu wanatembea wagonjwa hayo makofi yenu mkiua mtu hayatahesabiwa hata km ni kofi moja hiyo kesi ya mauaji tayari!
 
Uko sahihi mkuu....hawa viumbe saa nyingine akili yao inakuwa na chenga chenga.
Makofi ni njia rahisi ya kusafisha hizo chenga..
Piga makofi tu
Sawa kabisa mkuu.
Kuna wakati inabidi usimame kama kichwa cha mahusiano.
 
Back
Top Bottom