Unapigwa makofi vzr na unakuwa mdogo tu...na mb** unapewa siku hiyo hiyo au kesho yake asubuh ndo utatia akili[emoji23] [emoji23]Yaani x kwa maana ya Bf/mchumba ananyanyua mkono kukupiga ??? Pole dada kwanza mwanaume akikupiga ujue 100% anakudharau sana, anakuona mjinga,hakuheshimu hata kidogo ukiendelea kumchekea iko siku atachuma fimbo akuchalaze nayo.kwanza bf/ mchumba anakupigaje, wakati anakupiga anakwambia maneno gani ? Hawezi kukuelekeza taratiibu
Inaonekana we utakuwa unapenda makofi ya kwenye [emoji196]Labda Mjadala upanuke zaidi pengine makofi ya wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Makofi anakula na Dushe anakula muda huo huo acheni wanaume waitwe wanaume, anakutana na vidonde wa ligi lazima awadharua ila akija top 5 vitasa anakula bila kuuliza aina ya vitasa vyenyewe.Unapigwa makofi vzr na unakuwa mdogo tu...na mb** unapewa siku hiyo hiyo au kesho yake asubuh ndo utatia akili[emoji23] [emoji23]
Ya mara kwa mara ndiyo tanaleta chuki, mimi huwa nikijitoa kumpa mtu makofi huwa najitoa kweli na ni makofi haswaNi kweli makofi mara mojamoja huleta nidhamu!
Yakizidi huleta chuki
Wapigeni wanapenda kupigwaVery true
Makofi hasira sio makofi mahabaMkuu unaongelea makofi ya kupiga sehemu gani?
kuna sehemu ukipiga wanafurahi,
kuna sehemu ukipiga unaweza kumfanya mke
azimie na kusababisha mateso kwa watoto,
maana wewe na mkeo mnagawana majengo ya serikali
mmoja hospitali/mchwari mmoja jera.
wanaoathirika ni watoto wanaobaki nyumbani.
Huu mkofi ni nyoko balaa! Hapo wenge litamuisha mamaKama iki
Hio inaitwa fanya fujo uone. We ukitaka kuwa mbali na makofi kuwa mtiifu tu na jifunze kukaa kimya sio mzee mzima anaongea af unamletea kibezi..utaumia!Hivi mwanaume unaanzaje kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke wako ? Huyo mwanamke ni wanamna gani unayempiga halafu anakuchekea tu ? Still unamwambia unampenda khaaaaaa!! mwanaume kama wewe hufai hata kwa kulumangia !
Njoo unijaribu mimi mkuu, nadhani hao masela wako ni walaini mabrazameni. Njoo uniguse mimi upate kushudia kilichomtoa bruce lee manyoya!Masela weng nishawachapa makofi sna.Ila Mademu huwakama nawatisha nimewakosa kofi.Upepo wa kofi moja likimpitia kesho arudiii
We sio spanks, hii ni makofi ya shavuniLabda Mjadala upanuke zaidi pengine makofi ya wapi?
We unadhania swala la kupigwa ni la siku moja tu? Huenda mtu kashaongea wee wewe wala huelekei! Anafanyaje sasa ndio mwisho anakustua kidogo...Yaani x kwa maana ya Bf/mchumba ananyanyua mkono kukupiga ??? Pole dada kwanza mwanaume akikupiga ujue 100% anakudharau sana, anakuona mjinga,hakuheshimu hata kidogo ukiendelea kumchekea iko siku atachuma fimbo akuchalaze nayo.kwanza bf/ mchumba anakupigaje, wakati anakupiga anakwambia maneno gani ? Hawezi kukuelekeza taratiibu
Unatumia bangi mkuu au Kuberi?Sijawahi kumpiga Kofi msichana wangu yeyote.
Silaha yangu kubwa ni macho.nikimuangalia tu mwenyewe ananywea.
Uwa wana niambia we una macho makali kweli
Kaka sio ligi wala ubabe wa kutunishia misuli au kushindani nani ana mikanda mingi ya mapigano.automatically unapozingua unastaili makofi na uko kwenye 18 zangu nakubabua tu mzee tena vizuri tuNjoo unijaribu mimi mkuu, nadhani hao masela wako ni walaini mabrazameni. Njoo uniguse mimi upate kushudia kilichomtoa bruce lee manyoya!
Wanaume wa DarMasela weng nishawachapa makofi sna.Ila Mademu huwakama nawatisha nimewakosa kofi.Upepo wa kofi moja likimpitia kesho arudiii
Kanda ya Bangi [emoji23] [emoji23]Wanaume wa kanda maalum utawajua tu!