mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,127
- 58,858
Hapana jomba.ndivyo nilivyoumbwa.Unatumia bangi mkuu au Kuberi?
Hapana jomba.ndivyo nilivyoumbwa.Unatumia bangi mkuu au Kuberi?
Kabisa......Wenzao pwani wanasema mwanamke anapigwa kwa kanga,wao bado wanahamasishana kupiga makofi!Kanda ya Bangi [emoji23] [emoji23]
Hahahah na mimi huwa sina mambo ya kiduwanzi ila mtu akilianzisha huwa naruka nae tu.Kaka sio ligi wala ubabe wa kutunishia misuli au kushindani nani ana mikanda mingi ya mapigano.automatically unapozingua unastaili makofi na uko kwenye 18 zangu nakubabua tu mzee tena vizuri tu
Kwa kanga huku anakujibu kunya, heshima iko wapi!Kabisa......Wenzao pwani wanasema mwanamke anapigwa kwa kanga,wao bado wanahamasishana kupiga makofi!
una maswali ya kipuuzi sana,kwani kama umemruhusu akubonyeze sehemu nyeti atashindwaje kukulapua makofi?Yaani x kwa maana ya Bf/mchumba ananyanyua mkono kukupiga ??? Pole dada kwanza mwanaume akikupiga ujue 100% anakudharau sana, anakuona mjinga,hakuheshimu hata kidogo ukiendelea kumchekea iko siku atachuma fimbo akuchalaze nayo.kwanza bf/ mchumba anakupigaje, wakati anakupiga anakwambia maneno gani ? Hawezi kukuelekeza taratiibu
Wewe mwanamke akipigwa vizuri na akapewa mapenzi vizuri akili inasogea mbeleKabisa......Wenzao pwani wanasema mwanamke anapigwa kwa kanga,wao bado wanahamasishana kupiga makofi!
Kinachotakiwa ni kujifunza kujishusha tu,mmoja akipanda mwingine ashuke............na hicho ndicho walichomaanisha waliosema mwanamke hupigwa kwa kanga. Imagine mwanamke kanuna mbaya halafu wewe badala ya kumkasirikia unampa maneno ya mahaba na kumchekesha.......(umenifanya nikumbuke kisa changu flani)Kwa kanga huku anakujibu kunya, heshima iko wapi!
Pengine tunatofautiana, mimi ukinipiga jua penzi ushalitia doa!Wewe mwanamke akipigwa vizuri na akapewa mapenzi vizuri akili inasogea mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kati ya wote niliowapa vipigo hakuna tuliyeachana nae hadi sasa nawala wote japo wapo na watu waoPengine tunatofautiana, mimi ukinipiga jua penzi ushalitia doa!
Mamy hayo makofi nilistahik kwa upande fulan.....nilichukua simu yake mpyaaaa kainunua kwa pesa ndefu tu nkaibamiza chini ikatoka chenga za makinikia hapo ndipo nlipojua kwa nini ndege haina site mirror ...acha kabisaYaani x kwa maana ya Bf/mchumba ananyanyua mkono kukupiga ??? Pole dada kwanza mwanaume akikupiga ujue 100% anakudharau sana, anakuona mjinga,hakuheshimu hata kidogo ukiendelea kumchekea iko siku atachuma fimbo akuchalaze nayo.kwanza bf/ mchumba anakupigaje, wakati anakupiga anakwambia maneno gani ? Hawezi kukuelekeza taratiibu
Baba mikanda tena[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ??????!!!makofi oyeeee mikanda safiiiii
Ndio maana nimesema tunatofautiana........ila tambua kuwa sio kila mwanamke anaweza kuvumilia kupigwa. (Treat me as a queen, I will treat you as a king)[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kati ya wote niliowapa vipigo hakuna tuliyeachana nae hadi sasa nawala wote japo wapo na watu wao
Wengine utaoga kofi, kuna wanawake ata ukijifanya mr.bean aelewi. Wanawake wa style yako ni wale romantic wanaopenda kususa ili kukujaribu. Nshakuwa na mmoja wa hivyo ukiapply u mr.bean na kumpa pipi anaacha kununa. Ha ha ha those days!Kinachotakiwa ni kujifunza kujishusha tu,mmoja akipanda mwingine ashuke............na hicho ndicho walichomaanisha waliosema mwanamke hupigwa kwa kanga. Imagine mwanamke kanuna mbaya halafu wewe badala ya kumkasirikia unampa maneno ya mahaba na kumchekesha.......(umenifanya nikumbuke kisa changu flani)
To make it clear, kuwa tough and strong doesn't involve absorbing bullshit from a woman as well. We ni mwanamke kaa katika nafasi yako usilazimishe nikuweke kwenye nafasi yako maana itafikia time ntakurudisha hapo kwa gharama ya maumivu.Wanaume dhaifu ndio pekee hutumia nguvu za mabavu ya mwili kuwaadhibu wanawake ,mwanaume rijali kamwe hawezi kufanya hivyo kwa sababu anaijua namna bora ya kumchapa mkewe na kumliza bila ya kunyanyua mkono wake kumpiga
Sijui unaongea shit gani wewe!? No body is perfect hata mwanamke wako nae yupo kwenye hilo kundi na hata wewe pia hauko perfect kwa kila kitu, je wewe unapomkosea nae akufanyeje ili tu akulipizie makosa yako!? Muda mwingine wanaume mkue kipigo hakiwezi kumbadilisha mwenza wako Bali kinamshushia hadhi na hali ya kujiamini juu yakoTo make it clear, kuwa tough and strong doesn't involve absorbing bullshit from a woman as well. We ni mwanamke kaa katika nafasi yako usilazimishe nikuweke kwenye nafasi yako maana itafikia time ntakurudisha hapo kwa gharama ya maumivu.
Wafanya vyemaYa mara kwa mara ndiyo tanaleta chuki, mimi huwa nikijitoa kumpa mtu makofi huwa najitoa kweli na ni makofi haswa