Wanawake wanapenda makofi usiwanyime

Wanawake wanapenda makofi usiwanyime

Dah kupigwa kikofi kuna utamu wake ila usidundwe sana mweeh hatari.....kuna siku my x alinibomoa mpaka sura ikavia damu nlienda kazini sura nyekundu kama nyanya.......jaman kuchapwa tunapenda ila kidogoooo sio sana
 
Kwa takribani Muda kadhaa nimekuwa nikifanya kauchunguzi fulani hivi na kidogo ninaanza kupata majibu.

Nimekuwa kwenye mahusiano na baadhi ya wanawake ila wengi licha ya kupendana nao ila niligindua wanapenda pia wanaume wanaowapiga piga makofi ili kuwastua na kuwaboost akili pale wanapokuwa wako kinyume.

Sio jambo jema kuwakata makofi ila huwa inaongeza sana heshima kwenye mahusiano tena baadhi yao ukitaka kuwakata makofi utasikia "Weee umpige nani? Mara ya mwisho nimepigwa na baba yangu weee niguse uone" nilikuwa nikisikia haya maneno napata hasira na kutoa makofi ili aone kuwa mwanaume yeyote yule ukiacha baba yako anaweza kukulamba makofi na ukawa mdogo.

Matokeo: Baada ya makofi hayo nilipendwa maradufu sana na hata tuliachana huwa wanarudi kunipa nafasi ya kuwafunua tena ila wamebadilika sana na wanapenda makofi.

Ukiachilia mbali ule msemo wa mwanaume mashine mimi kipaumbele changu ni "mwanaume makofi".
hii ndo nchi ya viwanda
 
Tehehehhehhehehehheehehehehheehehe dahhhh
Kuna siku moja jirani yangu waligombana na mke wake akawa anamshughulikia kwa mikanda ya kutosha,sasa wanawake(wake za watu) waliokuwa jirani nikasikia wakisema waache maana wanareniew mapenzi!!!!!!!!!!!!!!
 
Una maana tupige makofi tafadharii! Schneider napiga makofi, wanaume wote tupige makofi.

Wote tunajua akili zao zimela la, tuzishtue kwa makofi kabla ya kula la.

Ukiwachekea wanakuona fa la, piga tumakofi wala sio ngwa la, utatupwa jela uende tubaki tamu yako tunaku la.

Dharau zingine tunajitakia kwa ugoi goi katika kuwa la, inatakiwa mwana wa watu sawa sawa chakula.
 
Mkuu makofi ya sehemu gani na wakati gani unayozungumzia.
Kuna makofi fulani hivi mkuu
 
Mkuu unaongelea makofi ya kupiga sehemu gani?
kuna sehemu ukipiga wanafurahi,
kuna sehemu ukipiga unaweza kumfanya mke
azimie na kusababisha mateso kwa watoto,
maana wewe na mkeo mnagawana majengo ya serikali
mmoja hospitali/mchwari mmoja jera.
wanaoathirika ni watoto wanaobaki nyumbani.
 
Hivi mwanaume unaanzaje kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke wako ? Huyo mwanamke ni wanamna gani unayempiga halafu anakuchekea tu ? Still unamwambia unampenda khaaaaaa!! mwanaume kama wewe hufai hata kwa kulumangia !
Wakanye kwanza wanawake wenzio
wanaoweka rehani vitu vyote vya nyumbani
bila idhini ya waume zao kwa ajili ya mikopo
isiyo na tija kwenye familia.
Sasa mtu kama huyo si anakuwa
anaomba makofi kimya kimya?
ila nashauri kwa wanaume ni kuwa,kabla ya kumpa
makofi kampime afya kwanza usije ukapata kesi ya kuua.
 
Hivi mwanaume unaanzaje kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke wako ? Huyo mwanamke ni wanamna gani unayempiga halafu anakuchekea tu ? Still unamwambia unampenda khaaaaaa!! mwanaume kama wewe hufai hata kwa kulumangia !
Pigwa makofi mama ueleweke [emoji1]
 
Dah kupigwa kikofi kuna utamu wake ila usidundwe sana mweeh hatari.....kuna siku my x alinibomoa mpaka sura ikavia damu nlienda kazini sura nyekundu kama nyanya.......jaman kuchapwa tunapenda ila kidogoooo sio sana
Yaani x kwa maana ya Bf/mchumba ananyanyua mkono kukupiga ??? Pole dada kwanza mwanaume akikupiga ujue 100% anakudharau sana, anakuona mjinga,hakuheshimu hata kidogo ukiendelea kumchekea iko siku atachuma fimbo akuchalaze nayo.kwanza bf/ mchumba anakupigaje, wakati anakupiga anakwambia maneno gani ? Hawezi kukuelekeza taratiibu
 
Back
Top Bottom