Uuu tunaita utoto ndo maana nadatigi na wazee manake wanajitambua.
Nimeziona insta mbona tangu wiki iliyopita?!
sure.........hivi vitoto vya chuo vinanuka maziwa ni shida
Mabinti mnapenda kudanganywa na hampendi kutumia hata logic,yaani kama huyu mda kama nusu saa nimechati naye namuomba mzigo kaniambia yupo bize hawezi mda kidogo nimemetxt kuhusu suprise angalia mwenywe
Nahisi ivo pia dada masaiatakua jambazi kaiba
Uuu tunaita utoto ndo maana nadatigi na wazee manake wanajitambua.
sure.........hivi vitoto vya chuo vinanuka maziwa ni shida
Ila wewe si ulishaolewa, bado unadetigi tu??ama unachepuka!!!!!!Back to the topic : Uyo muache akue ataacha
hamna kitu kichwani darshian
Kama anataka iPhone amnunulie Apple.