Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

Tunapenda kudanganywa siyo siri, wakisema ukweli tunakasirika. tubadilike wanawake. Mwanaume sometime yuko descent kabisa amesema allikotoka wewe unanuna next anakudanya.

I am a woman, I can feel this, we have chance to change.
 
Hahaha! Am on my way to O pubi. Eliza atakuwa na kibarua kigumu leo. Srengeti tano na valuu moja......
halafu umwambie yule muhudumu mwingine sijui anaitwa nani,mwambie anibipu,mimi namba zake niliziandika kwenye vikaratasi vya bili waifu amevichukua kwa ajili ya accounts' rekords
 
Bwashee unaanza kuharibu muvu ujue!
 
Si mnajua mapenzi yanahitaji sparks and excitements so ili kuwa excite lazima kauwongo kawepo pale hahaha ila kasizidi kipimo maana hatima yake yaweza kuwa mbaya huko mbeleni.
 
halafu umwambie yule muhudumu mwingine sijui anaitwa nani,mwambie anibipu,mimi namba zake niliziandika kwenye vikaratasi vya bili waifu amevichukua kwa ajili ya accounts' rekords

bwashee unaanza kuharibu muvu ujue!

kweli sasa naanza kuamini wanawake wanapendwa kudanganywa, wewe bht hujui kama mpwa ana mai waifu wake nyumbani??
Loh.
 
Bwashee unaanza kuharibu muvu ujue!
hahahaha!kuna kitu nilishasahau kwamba:
Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

mwambie muhudumu akuongeze serengeti mbili!umenikumbusha jambo muhimu sana
 
Tunapenda kudanganywa siyo siri, wakisema ukweli tunakasirika. tubadilike wanawake. Mwanaume sometime yuko descent kabisa amesema allikotoka wewe unanuna next anakudanya.

I am a woman, I can feel this, we have chance to change.

Caro, hata wanaume husemekana ni waongo lakini wakweli wapo pia
"general rules have exceptions''...at least this little I know
 
kweli sasa naanza kuamini wanawake wanapendwa kudanganywa, wewe bht hujui kama mpwa ana mai waifu wake nyumbani??
Loh.

Hahaha! Mpwa naona kule umeshindwa sasa unataka kuharibu huku. Subiri bwashee akamate kifaa halafu kampeni tunahamishia kwako. Ebo! Tunaenda kwa awamu bana! Unafikiri bila hawa watu kokoto zinakuwa tamu?
 
kweli sasa naanza kuamini wanawake wanapendwa kudanganywa, wewe bht hujui kama mpwa ana mai waifu wake nyumbani??
Loh.

Porjie, kwani kuna nini? mpwa wenu ni nani kwangu kwani haaaaa....

afu we Xpin which 'muvu' are you talking about here?
 
kweli sasa naanza kuamini wanawake wanapendwa kudanganywa, wewe bht hujui kama mpwa ana mai waifu wake nyumbani??
Loh.

Porjie......"sdanganyiki"

Labda tudanganyane au niamue kutoa Concent yangu mpwa wenu anidanganye....hw is that
 
umekula senksi hapa!
mwisho wa siku hamna wa kumlaumu mwenzie!

Not bad move anyway! Hiyo kumlaumu inaweza kuwa na maana nyingine labda. Mpwa ana mavokabulari mengine mtu unapaswa ukae chonjo.
 
Back
Top Bottom