Wanawake wanaovaa madira

Baadhi wanapenda kuvaa visuruali na vimini lakini wamejaliwa na Muumba wetu na wamechoshwa na wahuni mitaani kila wapitapo kupigiwa miruzi, na sauti nyingine za ajabu ajabu hivyo wameamua kuvaa hivyo ili kuficha kile ambacho walichokibeba.


hahahaaaa eti sauti za ajabu ajabu loooo
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
labda kama itakuwa oversize, lakini kama ina kufit sawasawa hata kama una neema ndogo ya allah itaonekana tu! Unajua mwenyezi mungu ana maana yake kugawa neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo maana ameumba pia mashabiki wa neema zote hizo!!

Aaaaaaaahhhhhhaaaaaaaa no comment. Asante kwa kututia moyo , dear. Thanks!
 
I hope to get at least one adult female trick-or-treater tonight dressed in a similar costume..
 

watamjulia au kumuona wapi pasco! Maana mimi kama mpemba, sokoni naenda mwenyewe au tukiwa pamoja!
 
Pasco thread zako hizi mkuu. Aisee wewe bro unapenda mademu balaa
 
Last edited by a moderator:
My dear aaaaaaahhhhhhaaaaa Jamani acha kuniua kwa kucheka mwenzio , aaaaaaahhhhaaaaa, Mummy inabidi nikutafute nikirudi Bongo please, aaaaaaaahhhhaaa . Thanks !

karib sana usijali lazima tuseme ukweli
 
kweli tunatofautiana. Mimi mwanamke anayevaa dira ni big no.... kuvaa madira kunaambatana na uswahili na umbea, labda awe mjamzito

Nakubaliana na wewe dira sio vazi linaloweza kumfanya mwanamke aonekane nadhifu labda huyo mtu alibane na likisha banwa haliwi dira tena linakuwa ni gauni hayo madira ni special kwa siku kama jumapili au jumamosi upo upo tuu nyumbani na misibani mara nyingi
 
labda kama itakuwa oversize, lakini kama ina kufit sawasawa hata kama una neema ndogo ya allah itaonekana tu! Unajua mwenyezi mungu ana maana yake kugawa neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo maana ameumba pia mashabiki wa neema zote hizo!!

basi utuache neema ndogo ndogo zikae kwenye suruali na neema kubwa kubwa kwenye dera :A S wink:
 

we utakuwa na neem ndogo ndogo tu bila shaka
 
"Neema za Allah"

Hii clipnikikumbuka huwa nacheka sana hasa pale shehe alipsma hapendi wanawake wembama "LABDA ITOKEE TU"" ha hahahah ha

Huyu shekhe anaitwa nani na ana salisha msikiti gani wakuu nina hamu ya kwenda kusikikiza mawaidha yake japo mimi mkristo!
 
Hahahah!we mwanamke hatazingekuwa kubwa kubwa bado hii kitu haijakaa vizuri sasa ukiwakuta wamechomekea kwenye chupi sijui wanawazaga nini?

wewe hata hujui kuchomekea kwenye chupi kuongeza mshawasha muulize Chuma Chakavu utamu wake ukoje
 
Pasco thread zako hizi mkuu. Aisee wewe bro unapenda mademu balaa

Pasco huyu kama ni yule ninayemjua mimi nahisi akiiona location yangu kuna kitu atagundua ila siku hizi kamehama magomeni
olympio to Zanaki pale kwa bibi yake magomeni na mama yake akiishi zanzibar
 
Last edited by a moderator:
Halafu pamoja na kuwa "They're trying to hide what their mom gave them" baadhi Madera yanawapendeza kweli.

Neema za Allah zinajimwaga barabara ndani ya Dera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…