wanawake wanaoolewa They are not SMART

wewe mleta mada unahitaji kupatiwa elimu ya maisha ili uweze kuelewa na kutofautisha kati ya mila na tamaduni (customs & traditions) . nadhani utakuwa umeweza kukombolewa kifikra.
 


hahahahahaahha....duh... mmemchamba mwenzenu hadi raha.....hahahahhahaha...
 

thats my boy.lini sasa,saa ngapi?
utakaa counter au karibu na jikoni?
uvae upendeze basi!!

hahahahhaa,hutaki nionekane fundi wako?sawa chalii yangu,kaunta ya mwanzoni kabisa mlangoni ndo ntakuona kirahisi,afu tunazama kule inner most!!muda saa tuta-pm-miana,figaniga hachelewi kujisogeza
 
hahahahhaa,hutaki nionekane fundi wako?sawa chalii yangu,kaunta ya mwanzoni kabisa mlangoni ndo ntakuona kirahisi,afu tunazama kule inner most!!muda saa tuta-pm-miana,figaniga hachelewi kujisogeza

hahahaaaa!!na ushahidi tena aaaaah
usimuite mzee wa mia bana!!
 
thubutuuuuu!!brave woman ndio
tupo ndoani bibieee!!!mutuwache na ndoa zetu
hatujafwata magari shost,only love n' care!!nyie
bakini kuiba vichochoroni na kung'atwa na mbu wa gesti bubu!!

mupe, mupe huyooooooo.......... Wazuri na mabrave ndio twaolewa,,,,,,,,,, nani kamwambia mwanaume anataka mke mbumbumbu ndani???????
Kweli vimada huongopewa vibayaa lol!!
Mwishoe wanabaki kuwa manung'aembe...... Ina huuuuuu!!!!!!!!!!!
 
mupe, mupe huyooooooo.......... Wazuri na mabrave ndio twaolewa,,,,,,,,,, nani kamwambia mwanaume anataka mke mbumbumbu ndani???????
Kweli vimada huongopewa vibayaa lol!!
Mwishoe wanabaki kuwa manung'aembe...... Ina huuuuuu!!!!!!!!!!!

si ndio hapo pacha
watabaki kua used tu kwa kukosa
wa kuwaweka ndani,wanatamani sana kuolewa
ila bahati hawana!!
 
Ww kukosa mume unataka na wenzio wakose?, ngoja waendelee kukufuja, nyumba ndogo 4 life
Huyo ni kiburudisho cha wanaume, kwa sababu unapiga halafu unasahau kwa sababu una mke wako na hutaki usumbufu kwa sababu unajua mko wengi
 
Huyo zahra ni sawa na kontena aka punda aka kikapu maku yenyewe haina tbs ndio maana type za kina masogange huyo dem aka mtambo wakuzalishwa mitoto ya haramu
 
Tuwache wenzio ndoa tamu, im brave enough and loved. Respect nyingi sana napewa.
Ila kama wewe kicheche huwezi kuitamani ndoa maana itakunyima uhuru na pia ukishazoea vya kunyonga...lol hakuna mume anayetamani kuitwa kwa jina lako...
 

ukiniona wala usingeongea hivyo bi shost
nina uhakika nina mvuto mara elfu zaidi yako
we kama mashine ya kufyetua kids endelea!!
kuolewa rahaaaaa bibi haijalishi una kazi o huna!!


mupole mukubwa sana kwako.
Mubayaaaaaaaaaaaaaa
 
Usijali Zahra mi nitakuwowa! hope you are happy now.

Una accent yas Congo Lubumbashi kule kwa Pepe Kale.
 
imenibidi nikupe like yako maana umenigusa sana
 
​bubaya lakini sikushindi wewe heheheiyaaaa!!

the beast and the sleeping beauty they are not the same.
You live in the 5th century my dear wake up grow up be in the 21st century.
The 5th century slogan is its a legal for the man to cheat but its a crime for the woman to cheat.
Which is not fair.
And stop that mume yangu mume yangu while you die yourself with presha.
W
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…