Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
Wanawake Brave awaolewi, wanabaki kuwa nyumba ndogo.
Sijui umeongea hivo uki-consider kua na wewe ni mtoto wa mtu ambaye umetokana na mama na baba, labda ungespecify kusema sio wanawake wote maana utajikuta unamtukana hadi mama kua hayuko Smart... Kua specifia bac kidogo au sio?Married woman are inferior,they dont know their right.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.
Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.
Huyu Zahara White atakuwa bonge la Nungayembe. Sasa ameona ajifariji kwamba yeye ni Brave Woman! Hata Mafiaso imegundulika kwamba siyo brave kama watu wanavyowadhania.MANUNGAYEMNBE UTAYAJUA TU
sio kila mwanamke aliyeolewa ananyanyasika kama unavyotaka watu waamini
Komalia maisha sahihi na watu sahihi... sio huu ----- uliouandika hapa leo; maana smart women know how to manage their lives, married or not --- and succeed in life
Huyu Zahara White atakuwa bonge la Nungayembe. Sasa ameona ajifariji kwamba yeye ni Brave Woman! Hata Mafiaso imegundulika kwamba siyo brave kama watu wanavyowadhania.
thubutuuuuu!!brave woman ndio
tupo ndoani bibieee!!!mutuwache na ndoa zetu
hatujafwata magari shost,only love n' care!!nyie
bakini kuiba vichochoroni na kung'atwa na mbu wa gesti bubu!!