usinicheke nilivyoumbwa nilivyoumbwa,we mzuri unavutiaaa,
hii kazi ya mola ya mola.
Haiingiliwi kazi yake mola mja acha. . . .
Nimekumbuka maneno hayo best song of taarab
lara 1 na madame b watakuja kusaidia
Lazima nipandishe GPA, kwasababu najiamini. Naamimi m/mungu kaniumba kwa ubunifu wote ambao binadamu hata ukucha hawezi kuumba. Kwahiyo acheni hizo, I am beautiful......kwanini nijishushe...lol
cc CALMAN
nilifall kwa yule msuka nywele,hawa vijana sijui wakoje natamani wangekuwa kama wewe na nicas mtei wananiboooooa sana.
<br>nilifall kwa yule msuka nywele,hawa vijana sijui wakoje natamani wangekuwa kama wewe na nicas mtei wananiboooooa sana.
<br>nilifall kwa yule msuka nywele,hawa vijana sijui wakoje natamani wangekuwa kama wewe na nicas mtei wananiboooooa sana.
<br>
<br>
hiyo ilishantokea nikala apointment na mtu nisiyemfahamu mambo ya tigo rafiki sauti yake ilkua kama kinanda yaani stereo hivi nikazimika tulipanga tukutane equoter dlil TMK nilikua wa kwanza kufika location nikamsubiri but very tacticaly nikaweka head phone maskioni na simu mfukoni ili ikipiga nipekee bila kujishikashka kuhusu mavazi nikampatia ya brothermen moja alikua kakaa mbele kwenye counter moja nikamuelekeza uje moja kwa moja counter nimcheki vizuri nikabana kwa nyuma mara akatokea whuuuuuuuuuu. nikazima simu nikaanza kaungalia jamaa alivyoka ananganganiwa afu ajui kinachoendelea akabidi nisepe
vipi CALMAN...zina maana tofauti na hizo tatu?
usinicheke nilivyoumbwa nilivyoumbwa,we mzuri unavutiaaa,
hii kazi ya mola ya mola.
Haiingiliwi kazi yake mola mja acha. . . .
Nimekumbuka maneno hayo best song of taarab
lara 1 na madame b watakuja kusaidia
wanawake faceless sijui ndio wakoje jamani!!!!
eti sura zilizokaa kama sokwe vile....! (nakupa mfano lakini ha ha ha ha ha)
ndugu yangu hawa watu wana balaa sana hum ndani
Atii?? duniani ni sehemu ya burudani sana, unakuta mtu anatumia sura ya mtu mwingine ambayo siyo yake anaipachika kwake kana kwamba ni yeye, ukimeet naye unashangaa sura ya Sokwe imejaa tele pale mgahawani inakusubiri wewe, sipachi picha sarakasi utakazofanya hapo hahahahaha!
Enzi zile kabla ya JF/MMU ilinitokea mara 1 nikaweka appointment na binti fulani alikuwa mwanachuo, nilipokuja kutana naye duh! nilikoma .... ila ...
Huwa nakukubali sana kwa mapointi yako swahiba ila kwa hili umetia fora yaani nakupa 100x,hivi jamani kwa nini isifike mahali watu tukawa tunapondana kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu na si kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wetu,jamani kuna mambo ambayo ni uncontrollable yaani hakuna mtu anapenda kuwa nayo ila kwa kuwa kaumbwa hivyo anakuwa hana jinsi kwa mfano 1.sura mbayaHilo swali ingelikuwa vyema kama ungelielekeza kwa Mungu Muumbaji maana ndiye aliyeumba kila kitu na kukiona chema mbele zake...
Ukituuliza sisi utakua watuonea tu na kututafutia laana...
Huwa nakukubali sana kwa mapointi yako swahiba ila kwa hili umetia fora yaani nakupa 100x,hivi jamani kwa nini isifike mahali watu tukawa tunapondana kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu na si kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wetu