Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,104
- 136,773
pole sana kama yalishakukuta lkn huwainategemea na makubaliano yenu pia never mind live life that matters
nashukuru sana nilihisi ni jazba just upembuz wa mambo half to half huenda likawa na ukweli ndo mana tunaomba mawazo never mind tuko pa1
lara 1 ---muarobaini ni mti au una maana kuna mwanaume anafanana na mti wa muarobaini?
nipe hiyo tano yangu hamisi, na ntakudai hadi ukimbie.Chukua tano Mwajei! Leo umeongea pwenti sana.
Hiyo sababu ndo inanifanyaga nisipende kukutana na mijitu ya humu. Mingi huwaga inataka kukuchora tu halafu ipate utirio wa umbea.
nashukuru sana nilihisi ni jazba just upembuz wa mambo half to half huenda likawa na ukweli ndo mana tunaomba mawazo never mind tuko pa1
nipe hiyo tano yangu hamisi, na ntakudai hadi ukimbie.
Ila kama hujui kuumba kwanini uumbue?ujue sio vizuri hata unaemdhania sio faceless kesho aweza pata la kumpata mdomo ukahamia kichogoni?
Tano sina saa hivi.....nna koni tu. Unaitaka?
mi staki koni wewe nna aleji.Tano sina saa hivi.....nna koni tu. Unaitaka?
aaaah mpe gwala bhana!
mi staki koni wewe nna aleji.
jana na leoUna aleji toka lini?
Anapenda koni huyo bhanaa...
Hilo swali ingelikuwa vyema kama ungelielekeza kwa Mungu Muumbaji maana ndiye aliyeumba kila kitu na kukiona chema mbele zake...
Ukituuliza sisi utakua watuonea tu na kututafutia laana...
Aaah wapi, hayajawahi kunikuta kihivyo wala nini. Karibu mara zote huwa niko hatua tano mbele....
hata baada ya kumaliza UE na kurudi russia bado wamekuja walio faceless!
dah!
sa tufanyaje best?
hem ngoja nakuja
Umesharudi toka kwa Putin?? teh!
wapende hivo hivo walivo