Wanawake wanaojiuza, si wale tu wanaosimama barabarani na kwenye baa

Status
Not open for further replies.
Kama wanawake wangeweza kweli kubana miguu hadi ndoa, sijui dunia ingekuwa mahali gani saivi. Hilo ni jambo la kufikirika kwa dunia ya sasa.

VERSE VERSA
kama wanaume wangeweza kweli kukaa bila kutongoza,kuvunjua bikira za mabinti,na kutopeleka gegedo mbele plus kuhonga sijiu dunia ingekuwa mahali gani kuanzia kiuchumi,kijamii...........
 
Haaa kunya anye kuku akinya bata kaharisha haaa

na mtuache looh pupuch yangu hata nikiigawa haibadilish kitu
 
Na vipi kwa wale wanaume wenzetu wanaolelewa?? Waacheni hawa madada zetu watulie bana nao wanahaki ya kuenjoy maungo yao kama sisi wanaume tunavyoenjoy, BTW hivi wewe nawe ni bikra?? au kama umeoa au kuolewa mpaka unaingia kwenye ndoa yako ulikuwa bikra??
 
VERSE VERSA
kama wanaume wangeweza kweli kukaa bila kutongoza,kuvunjua bikira za mabinti,na kutopeleka gegedo mbele plus kuhonga sijiu dunia ingekuwa mahali gani kuanzia kiuchumi,kijamii...........

Ni kweli kabisa..!
 
Poleni wanawake! Maana katika dhambi zinazotendwa na mwanaume na mwanamke, jamii huona aliyetenda ni mwanamke tu.
The world is not fair
^^

hii inakuwa hivyo kwa sababu ya usiri wao. mwanaume si msiri na nirahisi kukamatika but mwamke yupo tyr kushika bible au msahafu huku kitu kakitenda alafu anabisha tena analia sana
 
Papucci yangu naipenda!!! naipanua nitakavyo kwa utamu niupatao........
Bila kusahau papucci inaingiza pesa kama saccos vile!

Natamani kukujua ili niwe wakala wa hiyo papucci yako. Nikiwa dalali nitatengeneza pesa za kutosha na wewe utakuwa bilionea kuliko hata Bakhresa kwani nitakuuza kimataifa. Ni pm nikupe dili
 
Wewe kama hujaolewa halafu unapanua miguu kwa jamaa ambae sio mume wako, yani boyfriend au mchumba, ujue wewe ni changudoa. Huna tofauti na wale wanaosimama usiku kujiuza.

Japokuwa wewe husimami usiku lakini jijue kuwa na wewe ni changudoa kwasababu wote mnapewa pesa baada ya tendo. Hata kama hupewi mara tu baada ya tendo kama wanavyofanya changudoa wanaosimama barabarani, lakini unapewa pesa za matumizi na mtu ambaye si mume wako kisha ukampanulia miguu, jua wewe ni changudoa au tunaweza kukuita changudoa mwenye kiwango.

Kwa wale dada zangu ambao bado hawajaingia katika hii biashara nawashauri kufunga miguu yenu masije kujiingiza katika hii bihashara. Kwasababu mbali na kumchukiza Mungu unakuwa unajishusha thamani wewe mwenyewe.

Halafu uzuri wake ukifanya hivi huwezi ukaja kukosa wa kukuoa dada.

Mweee! Umetendwa? basi jidoo mwenyewe ndo maana mnatuharibia watoto wa kiume na kutaka kuoana ninyi kwa ninyi.
Je mwanamke akishuka dhamani wewe unapanda dhamani? Embu kuwa unapiga mswaki kwanza kabla ya kuandika huku unanuka mdomo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom