Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,173
yaani mimi na ubahilini kama ardhi na mbingu vile...hizo conditions i kwa ajili ya kujihakikishia mali tu kuwa ntaimiliki na siyo ubahili...njoo ujilie raha mtoto wa kike....
hahahaaaa!!hiyo out yako
unaweza kuja kuweka tangazo huku bure nakuogopa
mi chitaki kuolewa bana,kwanza we bahili kabisaaaa!!