G
guest-1790917349
Guest
hivi dr. machache wale mapacha wake watakuwa wana mtindio wa akili
Hahaaa
Hili nalo neno
hivi dr. machache wale mapacha wake watakuwa wana mtindio wa akili
..unaweza kutueleza physiology ya hiki unachosema?Baba akiwa HIV +Ve,Mama HIV -ve mtoto hawezi kuzaliwa na VVU labda kama mama alipima akiwa yupo kwenye window period na mtoto akapata michubuko ya kugusana na damu ya mama.
Otherwise yupo salama.
Na hata mama akiwa HIV +Ve bado kuna uwezekano mkubwa tu mtoto akazaliwa bila maambukizi
Wewe lako ni lipi naona okey okey tuOkey okey
Wewe lako ni lipi naona okey okey tu
​Ndio hivyo nni sasa???hebu jieleze vizuriNdio hivyo.