Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,430

Kwani akiwa hivyo kinapungua kitu gani?!

kwa nini wasiwe "real"hizo mbwembwe za kiume zibaki kiumeni
Kwani akiwa hivyo kinapungua kitu gani?!
kwa nini wasiwe "real"hizo mbwembwe za kiume zibaki kiumeni
Kwani akiwa hivyo kinapungua kitu gani?!
Huo mvuto unapotelea wapi?!Na kama kweli ungekua unapotea mngejuaje sio nia yao kuuficha?!Mvuto wa mtu hata ufichwe na makaa kama upo utakuwepo tu.Acheni kupangia watu wengine jinsi ya kuishi maisha yao!!mvuto wa kike!

Hiyo real yako sio lazima iwe ya kila mtu!!

kutokujiamini ni tatizo kwa wanawake wengi

Kwahiyo wanaovaa hivyo hawajiamini?!Wenye mawazo kama yako ndo hawajiamini maana kila unachofanya unawaza fulani atanionaje!!!
unajiaminije wakati umecopy copy ,na uhalisia wako una viraka
demu mkali hawezi kuact usela!mademu wanaoact usela na wale watengwa!
Hamna lolote...
yamekuwa hayo lizzy?kwani nawe waact kisela?
Na wanaume wanaovaa kike nao tuwaweke kundi gani ?Sielewi unamaanisha nini, waache au wawe kama wanawake wenye hiba na huba za kike?kuna wanaume wanapenda sana matom boy wa hivo