Wanawake wananitafuta sana lakini nawakatalia tatizo langu nini?

Habari za leo wakuu,
Leo ngoja niweke wazi moja ya tatizo langu linalonikumba.

Kiukweli niseme tu ukweli nina bahati ya kujenga urafiki na mwanamke yeyote anayebahatika kukutana namimi nakukaa na mimi muda mrefu akanisoma. Wengi wao hujikuta wanaanza kunipenda na kuanza kunihitaji niwe nao japo wengine huogopa kuzungumza waziwazi.

Lakini cha ajabu mimi huwa nakua nimeshagundua kilicho wasibu lakini mimi huwa naendelea kukaza kisolidi yaani mpaka najishitukia.

Bila kuficha ni kweli mimi kuna mwanamke mmoja huwa nampenda kinyama basi ndio hisia zangu na mawazo yangu yote yapogi huko kwa huyo mwanamke japo yeye hayupo hapa nilipo kwa sasa. Yupo mbali kidogo, pamoja na kwamba Yupo mbali lakini huwezi amini moyo wangu ulishadondokea kwa huyo mwanamke.

Sasa basi hawa wengine ambao huwa wanajileta wenyewe hadi kwenye box kabisa, hata huwa sijihangaishi nao.

Sasa najiuliza mbona hii tabia sikua nayo mwanzo, yaani nimejikuta akili yangu imebadirika haraka sana. Kwasababu nakumbuka mwakajana nimetenda dhambi sana. Mpaka nilikua najiogopa kwa dhambi nilizokuwa nazitenda. Na wala sikua na mpango na huyo mwanamke.

Basi kwa mabadiriko haya nikaona ngoja nije nipate mawaidha ya wadau hapa, wakuu hapa nini tatizo.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huo ni wakati wa mabadiliko ya akili baada ya mabadiliko ya mwili na hisia. Hiko ni kipindi ambacho kwa baadhi hawavutiwi na msichana/mvulana kwa muonekano, au kujiprndekeza kwake kwako. Lkn wengi hujiweka mbali kihisia na wapenzi wao sbb ya waliyoyapitia, waliyoshuhudia au waliyosikia. Hivyo, usishangae, ni hatua mojawapo katka maendeleo na makuzi ya mwili.
Ila kuwa makini na hisia na akili. Usiruhusu moyo wako ukaenfesha akili, bali akili iamue matamanio ya moyo wako.
 
Too general. Eti wanawake wanakufuata. Wangapi na wapi? Acha mjumuisho usio na ushahidi wala mantiki mwanangu. Isitoshe, hayo ni mambo yako binafsi sisi hatuna faida nayo.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Huo ni wakati wa mabadiliko ya akili baada ya mabadiliko ya mwili na hisia. Hiko ni kipindi ambacho kwa baadhi hawavutiwi na msichana/mvulana kwa muonekano, au kujiprndekeza kwake kwako. Lkn wengi hujiweka mbali kihisia na wapenzi wao sbb ya waliyoyapitia, waliyoshuhudia au waliyosikia. Hivyo, usishangae, ni hatua mojawapo katka maendeleo na makuzi ya mwili.
Ila kuwa makini na hisia na akili. Usiruhusu moyo wako ukaenfesha akili, bali akili iamue matamanio ya moyo wako.
Mkuu umenijenga sana kwa haya maelezo, shukrani sana
 
Habari za leo wakuu,
Leo ngoja niweke wazi moja ya tatizo langu linalonikumba.

Kiukweli niseme tu ukweli nina bahati ya kujenga urafiki na mwanamke yeyote anayebahatika kukutana namimi nakukaa na mimi muda mrefu akanisoma. Wengi wao hujikuta wanaanza kunipenda na kuanza kunihitaji niwe nao japo wengine huogopa kuzungumza waziwazi.

Lakini cha ajabu mimi huwa nakua nimeshagundua kilicho wasibu lakini mimi huwa naendelea kukaza kisolidi yaani mpaka najishitukia.

Bila kuficha ni kweli mimi kuna mwanamke mmoja huwa nampenda kinyama basi ndio hisia zangu na mawazo yangu yote yapogi huko kwa huyo mwanamke japo yeye hayupo hapa nilipo kwa sasa. Yupo mbali kidogo, pamoja na kwamba Yupo mbali lakini huwezi amini moyo wangu ulishadondokea kwa huyo mwanamke.

Sasa basi hawa wengine ambao huwa wanajileta wenyewe hadi kwenye box kabisa, hata huwa sijihangaishi nao.

Sasa najiuliza mbona hii tabia sikua nayo mwanzo, yaani nimejikuta akili yangu imebadirika haraka sana. Kwasababu nakumbuka mwakajana nimetenda dhambi sana. Mpaka nilikua najiogopa kwa dhambi nilizokuwa nazitenda. Na wala sikua na mpango na huyo mwanamke.

Basi kwa mabadiriko haya nikaona ngoja nije nipate mawaidha ya wadau hapa, wakuu hapa nini tatizo.
We kweli ni ndezi,,unawakataa kwasabab unawakataa

Mbona unashindwa kujiongeza
 
Hii situation kama unanizungumzia mimi , mademu hadi wananilazimisha kabisa niwaalike napokaa ila sina habari, wengine hadi wananikiss hadharani jinsi wanavyonipenda ila naogopa kuwaendea kasi maana kuna rafiki yao ndo ninayempenda , nina bahati kila mazingira mapya ntakayokuwepo lazima atokee demu anayenikubali
Another under 24,alisikika mlevi mmoja uwanja wa fisi
 
Eti yaan huwez amino moyo wangu ulishann sijui.Yaan umetuweka wote toto humu ndan...tupo chekechea were form. two(foolish age)
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndio hivyo mkuu, wala sidanganyi wewe kama unaushauri nipe tu ushauri. Lakini hiyo ndio situation iliyonipata kwasasa.
 
Mkuu me nina situation kama yako.

Wadada mtaani mpaka wake za watu ofisini. Binafsi the only reason inanifanya nisirukie kila shimo ni kwamba naona niko kwenye stage maishani ambayo natakiwa niandae life kwa ajili ya watoto wangu na mimi mwenyewe kuwa na maisha ninayo ya furahia baadae.

Kwahyo mara nyingi wanaojitokeza huwa nikiangalia na kuona hakuna sehemu tutaelekea, effort zao zote za kujitongozesha huwa nazipotezea. Kwasababu naona it's a distraction towards my goals.

Kingine ni kwamba kwa experiences nilizopata, nimekuja kujua vitu gani nataka kutoka kwa mwanamke. Kuanzia mindset, uzuri, usafi, heshima na tabia. Kwahyo hata kama nimekuelewa lakini nikaona na deal na mindset sio au tabia sizo. Mengi yataishia hapo. Kwasababu najua fika hii itakula kwangu kwa namna moja au nyingine .

Pengine na wewe unapitia phase kama hii.
Mkuu upo sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom