Kitu kimoja kinanishangaza ndugu zangu, mwaka 2008 niliwahi kuwa na mahusiano na mdada nilipokuwa chuo kikuu mwaka wa kwanza alinipenda sana na mimi nilimpenda sana, tuliitana mume na mke, tulipanga mengi ikiwemo kuoana hapo baadae.
Cha ajabu siku moja tulipanga kwenda kukutana kimwili maeneo ya Mwenge (Dar) tuaandaana vizuri nilipovua nguo yule mdada alifumba macho na kusema hamu ya mapenzi imekatika, nikambembeleza baadae akasema ukweli kuwa kaogopa uume wangu mkubwa ndipo nilipokumbuka mwaka 2005 nilikutana binti nae tulisumbuana kwa kudai nina uume mkubwa sana.
Nilimbembeleza mwisho nikaingiza japo kwa mbinde na kuweka mate ili uume ulainike baadae tukaendelea mwisho wa siku alinikataa kwa kudai ananipenda ila uume mkubwa mno niliendelea kutafuta wanawake wa size yangu lakini kila nikimpata ananiambia vilevile.
Nawapa pesa, zawadi na kila wanachotaka na wengine kuwapangishia nyumba kwani kwa kiasi pesa ninazo lakini mwisho wa siku wananikimbia kwa kudai wameshindwa kuhimili uume wangu mkubwa.
Kuna siku nilienda kwa Dr. akaniambia kweli uume wangu unazidi normal size nikamuuliza nitafanyaje akaniambia kuna njia mbili operation ama kutafuta mwanamke size yangu sasa ndugu zangu mimi siwezi kufanya operation na nimetafuta kila ninayempata ananikimbia.
Nifanyaje? Naombeni ushauri wenu