Ila wanawake wanasemwa sana jmn daah
! Ivi ina maana wanaume hawakosei au ndo desturi zenu tu wanawake kuvumilia na kukaa na vitu moyon??? believe me or not yaan ukifatilia threads nying umu ndan wanawake ndo wanasemwa vibaya
ivi ni kwel wanawake hawana jema jmn
afu hawahawa utakuta wanajifanya kusema nan kama mama.........nataman itokee kila jinsia ipewe sayari yake ili tuone itakuaje!