Anonymous101
Senior Member
- Sep 21, 2015
- 176
- 66
A woman doesn't need a man to survive.
Huna Ubavu Wa Kuishi Bila Mwanaume Miss Salt
Tuna mambo mengi kama unga wa ngano ulivo na mapishi mengi. ........
MWANAUME ANAHITAJI:
1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika
MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana
HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.
HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-
62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.
MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu.
(Hayo ni baadhi tu mazee, nitaongeza mengine baadae).
Naomba kuwasilisha.
Ukizaliwa mwanaume
Mmmmmmmh.
Ni jukumu kubwa
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.
Kwakua mwanaume ni maji au ni chakula?
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.
Acha ukorofi basi mpendwa. Kwani hujawahi kusikia Her will look better than her past, if she's present with the man?
Haha. Sorry nilisahau "future" baada ya "her". Ina-apply pande zote btw.Aaah wapi mpendwa, mwanaume mwenyewe nmekutana nae tayari nna meno 32 kabla ya hapo nliishi vipi
Ndiyo maana tunakufa mapema na kuacha viajuza vijane kibao! Kama isingekuwa ishu ya papuchi mi wala nisingehangaika na wanawake. Lakini sasa ukiipata papuchi tena ile mnato nene tamu ya moto basi mtu inabidi uwe mpole tu na kukubali kutumika.Kweli kuzaliwa mwanaume nimateso makubwa unakuta mtu unastress zako hasa za jpm then mwanamke namwenyewe anakuongezea jaman maisha gani kweli maisha ni mateso makubwa
hivyo vyote wanavyotaka wanawake kaka mkuu ni pesa..
amen.........Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.
Achaneni na sisi, msituchoshe
Swahiba upo?