Wanawake wanamambo mengi hebu ona

LINCO

Member
Dec 16, 2015
34
13
MWANAUME ANAHITAJI:
1. Kupikiwa

2. Unyumba

3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi

2. Rafiki

3. Mshikaji

4. Kaka

5. Baba

6. Mwalimu

7. Bosi

8. Mpiganaji

9. Askari

10. Mlinzi

11. Mpishi

12. Fundi umeme

13. Fundi bomba

14. Mchungaji

15. Mzee wa kanisa

16. Shehe

17. Daktari

18. Mpambaji

19. Mwana mitindo

20. Modo

21. Mnyanyua vyuma

22. Fundi magari

23. Mwanasheria

24. Mhasibu

25. Fundi seremala

26. Mcheshi

27. Mwanamuziki

28. Muigizaji

29. Shamba boi

30. Fundi ujenzi

31. Msafi

32. Unajali

33. Mzazi

34. Mlezi

35. Mvumilivu

36. Mjanja

37. Mpole

38. Mkarimu

39. Msikivu

40. Mtunza siri

41. Mkweli

42. Kiongozi

43. Tajiri

44. Mpangaji

45. Mwana Michezo

46. Mtundu

47. Tegemeo

48. Jasiri

49. Mthubutu

50. Shupavu

51. Mwerevu

52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.

54. Uwe unamtoa outing.

55. Uwe unampa pesa za kutosha.

56. Usimsumbue sumbue.

57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.

59. Kumsifia alivyoumbika.

60. Kumsifia alivyopendeza.

61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-

62. Siku yake ya kuzaliwa.

63. Kumbukumbu ya ndoa.

64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.

66. Usipende kubishana nae kila kitu.

(Hayo ni baadhi tu mazee, nitaongeza mengine baadae).

Naomba kuwasilisha.

Ukizaliwa mwanaume
Mmmmmmmh.
Ni jukumu kubwa
 
Tuna mambo mengi kama unga wa ngano ulivo na mapishi mengi. ........
 
Mwanamke haitaji mpenzi wake awe Baba wala kaka , baba na kaka anao tayari.... haitaji mshkaji wapo tele.....haitaji mwalimu hayupo shule.... mpiganaji yupo vitani?mchungaji shehe au mzee wa kanisa wanataka kuanzisha kanisa/ msikiti?

Ninechoka kusoma nitarudi
 
Ndio maana wanaume ni watu muhimu sana kwetu sisi wanawake...sijui ikitokea mkatoweka ghafla sijui itakuwaje kwa kweli.
Mungu awajalie maisha marefu na mdumu kuwa na afya tele.

Mmmhhh...haya maneno yanatoka kwa sakafu ya moyo wako
au yemetoka kinywani tu...?
 
Mwanamke haitaji mpenzi wake awe Baba wala kaka , baba na kaka anao tayari.... haitaji mshkaji wapo tele.....haitaji mwalimu hayupo shule.... mpiganaji yupo vitani?mchungaji shehe au mzee wa kanisa wanataka kuanzisha kanisa/ msikiti?

Ninechoka kusoma nitarudi

Hujaelewa mada
 
Kweli kuzaliwa mwanaume nimateso makubwa unakuta mtu unastress zako hasa za jpm then mwanamke namwenyewe anakuongezea jaman maisha gani kweli maisha ni mateso makubwa
 
Kutekeleza yote hayo ni ngumu,ndiyo maana maandiko yanasema tuishi na wanawake kwa akili.
 
MWANAUME ANAHITAJI:
1. Kupikiwa

2. Unyumba

3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-
1. Mpenzi

2. Rafiki

3. Mshikaji

4. Kaka

5. Baba

6. Mwalimu

7. Bosi

8. Mpiganaji

9. Askari

10. Mlinzi

11. Mpishi

12. Fundi umeme

13. Fundi bomba

14. Mchungaji

15. Mzee wa kanisa

16. Shehe

17. Daktari

18. Mpambaji

19. Mwana mitindo

20. Modo

21. Mnyanyua vyuma

22. Fundi magari

23. Mwanasheria

24. Mhasibu

25. Fundi seremala

26. Mcheshi

27. Mwanamuziki

28. Muigizaji

29. Shamba boi

30. Fundi ujenzi

31. Msafi

32. Unajali

33. Mzazi

34. Mlezi

35. Mvumilivu

36. Mjanja

37. Mpole

38. Mkarimu

39. Msikivu

40. Mtunza siri

41. Mkweli

42. Kiongozi

43. Tajiri

44. Mpangaji

45. Mwana Michezo

46. Mtundu

47. Tegemeo

48. Jasiri

49. Mthubutu

50. Shupavu

51. Mwerevu

52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:-
53. Uwe Fundi kitandani.

54. Uwe unamtoa outing.

55. Uwe unampa pesa za kutosha.

56. Usimsumbue sumbue.

57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:-
58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.

59. Kumsifia alivyoumbika.

60. Kumsifia alivyopendeza.

61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.
PIA USISAHAU:-

62. Siku yake ya kuzaliwa.

63. Kumbukumbu ya ndoa.

64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-
65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.

66. Usipende kubishana nae kila kitu.

(Hayo ni baadhi tu mazee, nitaongeza mengine baadae).

Naomba kuwasilisha.

Ukizaliwa mwanaume
Mmmmmmmh.
Ni jukumu kubwa
Mkuu angalia hapa!https://www.jamiiforums.com/mahusia...ila-hampo-tayari-kuwajibika.html#post14912978
 
67.cashier
68.houseboy
69.punching bag ya maneno machafu ukimyima pesa.
70.chef
 
Back
Top Bottom