Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,285
Habar wanajamvi
Natumai mkopoa sana kwa mimi ni buheli wa afya mungu anasaidia bado tunagangamala niende straight kwenye mada kuna baadhi ya wanawake wanakuwaga na nyota kwa waumezao tu chukulie mfano mimi mwenyewe kuna mwanamke nilimtongoza kusema kweli tokea nimtongoze mambo yangu yanaenda vizur kabisa sasa nikido naye sijui mambo yataendaje kwa ufupi tu namwona ananifaa sana aisee ila sasa upate mwanamke mwenye nyota mbaya utaona dunia chungu mikosi haiishi matatizo kila uchao swali ni je kila mwanamke ananyota na mpenzi wake ?