Wanawake Wanakula Sana Mihogo

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,402
Reaction score
1,618
Kwa takribani miezi minne mfululizo MCHUNGUZI HURU nimekuwa nikifanya uchunguzi wa walaji wakubwa wa mihogo jijini Dar es Salaam.

Uchunguzi wangu umebaini kuwa asilimia kubwa ya walaji wa mihogo jijini Dar es Salaam ni wanawake.

Wanawake wanaongoza kwa kula mihogo ni wale waajiriwa wa maofisini, wanawake hao hununua mihogo hiyo pale wanapoenda ofisini na kuweka ndani ya mikoba yao ili kwenda kula wakifika ofisini.

Ukipita maeneo ya wauza mihogo asubuhi utakuta wanawake wenGne wapo kwenye magari yao wanasubiri wapewe mihogo wabebe waende nayo ofisini kunywa chai.

Wapo wanaoona aibu kununua mihogo kwasababu zao, wanawake hao wakifika ofisini huwaagiza wafanya usafi katika ofisi zao waende kuwaletea mihogo.

Wanawake wafanyabiashara hawanunui sana mihogo, wanunuaji wakubwa ni waajiriwa wakifuatiwa na wanawake wanaoshinda nyumbani.

Hata hivyo MCHUNGUZI HURU ninawaasa endeleeni kula mihogo bila uoga kwani ina wanga nyingi ambayo husaidia kuupa mwili nguvu.

WANAWAKE WA DAR WANAKULA SANA MIHOGO.
 
Last edited by a moderator:
Ewe dada kula muhogo utauona utamu wake eeeh kula muhogo....
naimba tu!!!
 
uchunguzi wa leo ni wa ukweli
wanapanga foleni asubuhi kwa wamama wauza mihogo utazani wako Loliondo
 
chaka chino! mihogo ni mizuri sana!pia mwanamke akila kipande kidogo cha muhogo mbichi ile ya kutafuna ni vizuri sana.mchunguzi huru hii ni according to nyanya na bibi zetu ambao kizazi hicho kilishapotea!
 
kweli kabisa, nawashauli pia kuwaasa wanaume zako kula mihogo kwa wingi. unapunguza tatizo la nguvu za kiume..
 
kwa wanaume wenye vibamia , kuleni kwa wingi mihogo mibichi na pilipili
mtafurahia matokeo yake baada ya wiki 2
hii ni kwa wote wanaotaka kuwa kamili kama Daraja La Salenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…