- Thread starter
- #41
shusha pumzi kwanza...naona unahemea juu....Tuondoleee ujinga hukoo..yaani huyoo Mdada wako ndoo utujumuishe wanawake wootee..

shusha pumzi kwanza...naona unahemea juu....Tuondoleee ujinga hukoo..yaani huyoo Mdada wako ndoo utujumuishe wanawake wootee..

We inaonekana sio expert kwenye mapenziEvelyn Salt please unnatania...@sanzu unadhani zingekuwa kamili angefanya haya?![]()
ha ha ha...labdaWe inaonekana sio expert kwenye mapenzi
kizuri kula na nduguyoSasa ulimpa huyo mwenzio picha za huyo dada ili iweje?! si alikutumia wewe?
Afadhali umeongea naye huyo mtoa mada..... Sijajua sisi wanawake wengine tunahusikaje hapo???Tuondoleee ujinga hukoo..yaani huyoo Mdada wako ndoo utujumuishe wanawake wootee..
Upo wapi Siku hiziTuondoleee ujinga hukoo..yaani huyoo Mdada wako ndoo utujumuishe wanawake wootee..