Wanawake wanakomaa akili wakifikisha miaka mingapi?

Wanawake wanakomaa akili wakifikisha miaka mingapi?

Ukisika Iiii ujue limempata
hakunaga ila acha hizo. hiyo miaka uliisikia wapi? ina maana hata mama ako hajakomaa akili?

tuwe serious bhana na comments za humu na sio ku generalize
 
hakunaga ila acha hizo. hiyo miaka uliisikia wapi? ina maana hata mama ako hajakomaa akili?

tuwe serious bhana na comments za humu na sio ku generalize
We inaonekana za kwako zimeiva ila hazijakomaa
 
kuna mshkaji hapa juzijuzi alienda mahali tulimalizia o level akakutana na msichana ambaye alikuwa rafiki yangu muda huo..yule dada akasema amenimiss mno mno mno..ikabidi mshkaji anipigie ili niongee na huyo dada..tuliongea mengi mno but mwisho akasema atampa picha zake huyo mshkaji aniletee...sasa siku jamaa anaondoka akapewa picha kweli..sasa jamaa akaziangalia pale pale duuh..ni picha za uchi za yule dada..ikabidi jamaa amuulize kwani mende ni bwana ako akasema hapana ni kumbukumbu tu...basi jamaa akaniletea na mimi nikaamua kumuachia mbili me nikabaki na tatu...sasa najiuliza huyu dada ana akili timamu kweli?
anajua madhara ya kusambaza nyuchi zake kwa watu?
ananitaka?
kama ananitaka kwa nini atumie njia ya kipuuzi hivi?


wanawake wanatofautiana huyo wako ni mmoja tu kichaa,usicon lude wote mende sharo
 
mbona umechukua ?
ungerudisha kama vipi ,tena ulivozipenda ukamgawia hata rafiki yako mpendwa
 
lol, kwan wewe ulikomaa ukiwa na umri gani, yaani akukosee mmoja utujumlishe wote. people differ
zaman sana...hizi kesi zipo nyingi mno
 
Yaan kutumiwa picha za uchi ndo ujumlishe wote! wa kwako ndo hana akili unamtumiaje pic za uchi mtu c mpnz wako?
 
Back
Top Bottom