Wanawake wanakomaa akili wakifikisha miaka mingapi?

Wanawake wanakomaa akili wakifikisha miaka mingapi?

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,385
Reaction score
2,847
Kuna mshkaji hapa juzijuzi alienda mahali tulimalizia o level akakutana na msichana ambaye alikuwa rafiki yangu muda huo, yule dada akasema amenimiss mno, ikabidi mshkaji anipigie ili niongee na huyo dada tuliongea mengi mno but mwisho akasema atampa picha zake huyo mshkaji aniletee sasa siku jamaa anaondoka akapewa picha kweli.

Sasa jamaa akaziangalia pale pale, ni picha za uchi za yule dada ikabidi jamaa amuulize kwani mende ni bwana ako akasema hapana ni kumbukumbu tu basi jamaa akaniletea na mimi nikaamua kumuachia mbili mimi nikabaki na tatu. Sasa najiuliza huyu dada ana akili timamu kweli? Anajua madhara ya kusambaza nyuchi zake kwa watu? Ananitaka? Kama ananitaka kwanini atumie njia ya kipuuzi hivi?
 
Tuondoleee ujinga hukoo..yaani huyoo Mdada wako ndoo utujumuishe wanawake wootee..
 
lol, kwan wewe ulikomaa ukiwa na umri gani, yaani akukosee mmoja utujumlishe wote. people differ
 
Mnajuana bhana.acha kuzingua watu hapa.
 
Back
Top Bottom