Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 62,000
Hali tete
Hujawahi kula mzigo! je ulishawahi kuomba ukanyimwa? ... isije ikawa mtumishi/ustadhi umeingia mtumbwi wa vibwengo ujue! tabia ya kudemand kuhudumiwa shortly baada ya kuanza mahusiano haiendani na tabia ya kutotoa kiburudisho.Sijawahi hata kula mzigo mkuu
Sasa hivi atucheki na kima madini yako yamenikomaza sanaBiashara yao imeanza kushtukiwa 😀😀😀