Wanawake wanacomplicate sana

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Sijui kwanini wanawake wagumu sana kuelewa.Mke wangu aliondoka nyumbani na kumwacha mtoto wetu Wa kiume Wa miezi 6 akilia mnooo. Dada Wa kazi akambembeleza weeee hakunyamaza. Akamwimbia hakunyamaza.

Akaamua kutoa nyonyo zake na kumpa mtoto.Mwanangu akanyamaza pale pale. Akiwa anamnyonyesha Mimi nikaingia. Nikamuwakia dada. " unataka kumuambukiza mtoto magonjwa? . "Hapana baba hayatoi maziwa Mimi nimempa tu anyamaze!!" Kweli hayatoi?".

Nikaamua kuthibitisha. Nikamtoa mtoto na nikawa nanyonya Mimi. " ahaa kweli hayatoi. Hebu hilo lingine! Nalo halitoi?. Mara wife kaingia.nikamwambia kuwa nafanya uchunguzi Wa nililolikuta. Hakuamini.

Hebu niambieni. Wapi nimekosea? Kufuatilia afya ya mtoto ni kosa?

Wanawake acheni hizo!
 
Hapana mkuu wewe ulikuwa unataka kumpiga beki tatu wako!! Kwa nini unyonye? Kama mama angechelewa kidogo tu hakika ungemwasha huyo beki 3!!
 
Hehheh ulikuwa unataka nyonyo na ww
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] wewe kweli doctor uchwara!!
 
Isee! Uchunguzi gani huo sasa.Hujui ulikua unamhemshisha huyu binti?
 
Hiyo inaitwa kupatw kwa uchunguz[emoji3] [emoji2] [emoji2] nimechk sanaa
 
Hahaaaaaa!
Story zingine bwana!!

Hahhaahhaaaaaaa!!
 
Bhuahahahahaha duh nimecheka sanaaa asee mtoa mada acha kutufanya maboya asee kwaio ulivyotest kwa kuyanyonya ulipata radha gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha ha mtoa mada umetisha sana, hakika hii ni kupatwa kwa nyonyo live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…