Wanawake wanabebeshwa mengi, nyie acheni tu……!

uchawi upo ila nadhani ni zamani...siku hizi wengi matapeli wengi! full rubbish!!!
 
Wakati mwingine shetani hupata wafuasi wengi hasa pale anapomkuta mtu katikati ya njiapanda na kumpa majibu ya hila
::
Mapito ktk maisha yetu yanahitaji umakini mkubwa ama sivyo baada ya safari ndio linakuja lile la majuto mjukuu au hujafa hujaumbika.
::
Lakini ktk uganga wa asili (ramli,n.k) tusafishe akili zetu kwa uzoefu wetu wenyewe,,wapo watu wana matatizo ya kweli na wapo waganga wa kweli ila kuna hawa akina FUNUA FUNUA KUNA SIKU UTAFUNUA UCHAWI.
:
Thanks mtambuzi.
 
Nina mpango wa kwenda kwa mganga ili mai waifu Kaunga anikabidhi kadi ya kale ka staleti kake . .Lol!
"
Ki ukweli waganga ni waongo sana.Huwezi ukaenda wakakuambia huna tatizo!!

Hivi basikweli huwa zina card? Kama ni hivyo wala usiwe na wasiwasi, nitakukabidhi hadi vijiko na upawa! LOL
 
Mtambuyzi hongera, kwanza kichwa cha habari tu ckuamini kama it is from u, nishazoea yale mabo yetuu yaleee kutoka kwako, ni funzo tosha
 
i feel bad kwakweli.....msimamo wangu uleule!Silei Mtoto wa mume!!

christine mtoto hana kosa aende wapi na ye anahitaji huduma ya baba, mlee tu ila me nashauri mtoto wa hivyo ni boarding mwanzo mwisho bora atumie hiyo mihela ya baba yake bt nyumba iwe na amani
 
Namwomba Mungu anipishilie mbali kwa hili! lakini mtoto wa mume silei nina cases kibao! hakuna shukrani utaishia kuishi kwa stress na mateso kibao!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom