Wanawake wana shida gani?

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,229
Reaction score
103,333
Naangalia mahubiri ya Mwamposa asilimia 98 ya watoa ushuhuda ni wanawake.

Wao ndiyo wana uvimbe tumboni

Wao ndiyo walikuwa hawawezi tembea

Wao ndiyo wagonjwa na sickle cell

Wao ndiyo wanapatwa na mapepo

Wao ndiyo hudondoka

Wao ndiyo huenda tapika vitu vya ajabu ajabu, mshangao ni kuwa hawatapiki ndani ya kanisa,wanaenda tapika nje huku kamera ikiwarekodi.

Wanawake wana tatizo gani?

Leo vilema wote fimbo zao zafanana, ni kama kila mtu alitoka sehemu anayojua na fimbo sawa na mwenzake
 
Mkuu, hiyo pia kwa waganga wao ndo wateja wakubwa!

Kwa upande wa Wanaume naona changamoto kubwa kwa kizazi cha sasa ni mambo ya "last longer" tu.
 
Katangaza namba za kutoa pesa za kujimaliza.

Kazi kwenu
 
Wenye 10000 zao wameitwa
 
Jamaa amejuwa wateka watu akili na wanazitoa hela haswaa.

Watu wanasema kuwa makanisa ya jumapili yanasadaka nyingi, huyu kazidisha.
Na inaonesha Tanzania ina tatizo kubwa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…