Wanawake wana roho mbaya wakitendwa!

Ajabu siyo kumuombea mwanaume mabaya Bali kutoa mimba ya mwanaume tena bila hata taarifa. Hata Kama ningekuwa Mimi ningempiga chini at the first place.
Namuunga mkono jamaa kwa kumuacha huyo demu na kuamua kuoa mwanamke mwingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ajabu siyo kumuombea mwanaume mabaya Bali kutoa mimba ya mwanaume tena bila hata taarifa. Hata Kama ningekuwa Mimi ningempiga chini at the first place.
Namuunga mkono jamaa kwa kumuacha huyo demu na kuamua kuoa mwanamke mwingine.
Nogesha kabisa, "kumuoa mwanafunzi wa huyo demu"
 
Jina Grace ni jina zuri sana lakini kwa umri wangu huu wengi wenye jina grace nilio bahatika kuwafahamu walikuwa awajatulia kabisa. Wana majanga ya kufa mtu. Ni kati ya watu wanao ongoza kwa uzinzi, ulevi, mimba na utoaji mimba, nk.
 
Heeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Naunga mkono hoja japo sijui Kama umri tunalingana
Jina Grace ni jina zuri sana lakini kwa umri wangu huu wengi wenye jina grace nilio bahatika kuwafahamu walikuwa awajatulia kabisa. Wana majanga ya kufa mtu. Ni kati ya watu wanao ongoza kwa uzinzi, ulevi, mimba na utoaji mimba, nk.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…