Huyu Grace mie namchukulia kama muuaji tu.Mkuu sawa kilichotokea si kizuri na inaonesha ni jinsi gani huyo grace alivo na hasira kali sana, iakini kuna vitu vingene kabla ya kutoa ushauri, kutoa point ya msingi INABIDI TU UCHEKE KWANZA . then mengine ya masingi yafuate!
sumu tu?Hadi inatisha!
Ina maana huyo anaweza hata kumuwekea sumu huyo ex wake! Inatisha sana.
Sasa sijui hasira ni kwa vile kaoa aliyekuwa mwanafunzi wake au nini!sumu tu?
anawaza mara 5 ya hiyo sumu
Nakubaliana na wewe kabisa kwani dhambi huanzia moyoni mwa mtu na kukamilishwa kwa kitendo dhahiri kinachoonekana waziwazi.Huyu Grace mie namchukulia kama muuaji tu.
Sisi wakatoliki tuna sala ambayo tunapoungama makosa, kuna mistari fulani inasema hivi:
Nimekosa mimi KWA MAWAZO, KWA MANENO, KWA MATENDO na KWA KUTOKUTIMIZA WAJIBU.
Sasa mie naona kama vile Grace ameua kwa MAWAZO!!
Mie najiuliza sasa kama alikuwa anapenda awe mke wa jamaa mbona alitoa mimba yake na nasikia ndio chanzo cha kuachana!!!Kweli Grace alipenda. Dah! Halafu limjamaa likamuacha kipindi pendo likiwa 11000% juu hadi aliichomoa mimba isijeleteleza kukosa nafasi ya chumvini kwa siku moja.
Pole sana Grace, usidhani uliyokuwa unayapata hata mwenzio ndo anayapata. Njoo huku utuelekeze huenda tukawa wataalam kumzidi nayo ikawa ndo pona yako.
Yawezekana jamaa ndiye conservative agent wa hiyo mimba kutoka. Alifanya mitindo hatirishi kwa mja mzito ikatoka.. Msiwe mashabiki wa unyumba wa watu wawili.Mie najiuliza sasa kama alikuwa anapenda awe mke wa jamaa mbona alitoa mimba yake na nasikia ndio chanzo cha kuachana!!!
Labda!Yawezekana jamaa ndiye conservative agent wa hiyo mimba kutoka. Alifanya mitindo hatirishi kwa mja mzito ikatoka.. Msiwe mashabiki wa unyumba wa watu wawili.
Atakufa kifo kibaya mbwa huyo ' naona hammalizii jinsi inavyotakiwaNa paka kishakufa aliwe na funza na funza aje afanywe mbolea ya matembele, na hayo matembele ayanunue kwa mchuuzi na ayapike na apitwe na usingizi yaungue. Yakishaungua ayatupe jalalani na kunguru ayale na kunguru auliwe halafu...........
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
Hakupenda. Angependa lazima angwelea mimba. Wanawake niliokuwa na uhusiano nao na ukadumu for atleast 6moon, waliomba niwaruhusu wabebe mimba ya mtoto wangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kuna watu wanajua kupenda. yaani kuachwa ndio amuombee dua mbaya kiasi hicho ex wake! ni roho mbaya iliyopitiliza
Hapa umeweka sawiaSasa sijui hasira ni kwa vile kaoa aliyekuwa mwanafunzi wake au nini!
Na kama alikuwa anampenda huyo Ex wake, kwanini alitoa mimbe ili hali walikuwa wanaishi kinyumba!
hahhahahahaduh.... wanawake bana......EX wangu alishaandika hayo makitu, katika kutuma akamtumia dada yangu....hahahahaha....halafu hao hao wanakesha kwenye maombi....Mungu wasamehe tuu...