Wanawake wana roho mbaya sana

Na wale wanaume wanaolawiti vitoto vichanga umewaacha wapi?kama hyo ndio concept basi uneongeza na wanaume wana Roho mbaya zaidi
 
mkuu naamin hayo yote aliyajua kabla ya kubeba ujauzito and infacts huo ni wajibu wao
 
Umeongea bonge La fact!!..they say don't judge before considering the other side of the story..tuache kuishi Kwa imani na myths zilizoenea mitaani..tutafte facts..binadamu Hawa!!unamfanyia wema anakirudishia machungu ..tna kama yupo kwenye those special groups mentioned above..mhh unageuziwa kibao wewe ndo mbayaa..Dunia inebadilika jamani ..na nyie wanaume jfunzeni kuwa committed na watoto wenu..mama kafariki ..Lea mwwnyewe !!kuoa mwingne..azae wengne unajua fka inaeza kuleta uhasama na mateso ya nini?si mjikaze aaaah
 
Na hao wote uliowataja wanawake pia!!then una uhakika gani wao sio vyanzo vya hzo unazoziita Roho mbaya?unatakaje wakufanyie ushenzi uwalambeee..kisa..ntaonekana Roho mbaya?..as in uwape go ahead wao ndio wakufanyie roho mbaya?..huruma ya mshumaa siyoo??..21st century hii wewe wake up
 
Unaongea kweli ila mwanamme ndio mwalimu wa mwanamke so juhudi inahitajika kupita kiasi twaweza kufanikiwa jitihada wajada
 
mbona unado na hao hao wanawake?

Hehehee..umeona eeh..tna na michepuko mia kdogo yupo radhi ukimwi umvae but hawaachi!na mkitaka kugombana mwambie abaki Njia kuu..,hvi kweli unaowaona wana Roho mbaya ukalale nao tna vchochoronii usku kuchaa usiogopee atakudhuru??..kavurugwa huyu si buree
 
Wanaume wana roho nzuri sana ndio maana duniani hakuna ubakaji, hakuna vita yaani dunia ina amani sana. Hakuna watoto waliokataliwa na baba zao yaani ni wanaroho nzuri sana. Mungu azidi kuwabariki!
 
Wanaume wana roho nzuri sana ndio maana duniani hakuna ubakaji, hakuna vita yaani dunia ina amani sana. Hakuna watoto waliokataliwa na baba zao yaani ni wanaroho nzuri sana. Mungu azidi kuwabariki!

hii ni baraka ama laana?
 
Hiki ni kipimo ambacho mungu amekiweka kwa waumini wa kiume ili kuwapima imani zao wakiweza wao na wake zao peponi wakishindwa kinyume chake
 
Wanaume wana roho nzuri sana ndio maana duniani hakuna ubakaji, hakuna vita yaani dunia ina amani sana. Hakuna watoto waliokataliwa na baba zao yaani ni wanaroho nzuri sana. Mungu azidi kuwabariki!

Bibi com umenichekeshajee
 
Wanaume wana roho nzuri sana ndio maana duniani hakuna ubakaji, hakuna vita yaani dunia ina amani sana. Hakuna watoto waliokataliwa na baba zao yaani ni wanaroho nzuri sana. Mungu azidi kuwabariki!

Wamesahau kuwa wasitizame kibanzi ndan ya jicho la wenzao ilhali boriti li kwao.

Daima wanawake tumeumbwa na moyo wa kusamehe na kuanza maisha mapya,binafsi nimekusamehe tangu nilipomaliza kuisoma thread yako
 
Shukuru sana mwanamke maana you whole existence was made possible by a woman!
Hizo circumstances za wanaonyanyasa watoto si kwa wanawake tu, wapo wanaume tena wao wanawabaka kabisa watoto wa kambo au kuwalawiti kama ni wa kiume( zipo na tumezisikia).
 
Kaunga aka Kasembe...kwani hayo yote ulotaja hapo juu ni favour au ni haki ya kibiolojia na kisheria mwanamke kuyatenda?Ina maana kuna mbadala wa kubeba iyo mimba nje ya tumbo,kutopata uchungu wakati wa kuzaa..nk ila yeye akachagua hayo yenye mateso?Hapio mwanamke anatimiza wajibu wake kama vile ulivyo na kompyuta /simu kama chombo cha mawasiliano vianze kukwambia ooh mimi nakufanya unaweza kuingia JF,ooh nakuwezesha kuwasiliana na watu.No no no hayo yote ni woman inbuilt.Ila mwanaKe wana roho mbaya kwa ukweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…